Mimi in kijana wa kiume umri miaka 26 na ni mkazi was Dar es salaam elimu yangu ni kidato cha sita nimeshindwa kuendelea na elimu ya juu kutokana na ukata unaoikumba familia.
Sina mtoto na bado...
Habari wana JF
Kila siku najiuliza bila kupa majibu. Hivi soko la Dunia lipo nchi gani? Kama kuna mtu anjua lilipo anifahamishe Maana ni muda najiuliza bila kupata majibu
====
Majibu...
Amin amin nakwambia..
1. Restaurant ndogo ndogo zile nzuri
2. Vigenge genge vile vizuri vzuri unakuta mtu nyanya ana pack vizuri kwenye vifuko. Sasa mswahili hata awe na hela vipi ataacha hivyo...
Ndugu, habari za wakati huu.
Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k
Naomba...
Uzi huu unalenga kuwasaidia vijana ambao hawajui wapite wapi na wapi ili wafikie ndoto zao, jieleze kwa kina toka mwanzo ulipoanza haso zako, kipindi ambacho ulikuwa huna hata pesa ya kula, haso...
Wakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka...
Habari wadau!
Utani utani bitcoin sasa imefikia bei ya juu zaidi kuwahi kuonekana tokea imeanza mwaka 2009!
Kwa sasa bitcoin moja ni USD 66,000 sawa na TZS 153 milion!
Najaribu kuwaza kama mtu...
Habari za mchana ndugu wana JF
Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka...
Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku.
Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku.
Naomba Ushauri wenu tafadhali.
Wadau za jioni,
Mimi ni kijana mwenye miaka 32, niko Kijijini. Nimemake kiasi cha Tsh. milioni 1 nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki huku huku kijijini ila sijui kama fedha hizo zitatosha...
Habari za muda huu wapendwa, hope mko poa kabisa. Guys nina 3m nawaza nifanye biashara gani tho professional yangu ni photography ila naona kama hii pesa 3M ni haitoshi kwa mtaji wa studio nadhan...
Nafikiri kuhanzisha hospital ya dawa za asili Yaani kutibu kwa dawa za asili.
Maana Kuna magonjwa mengi Ambayo yanashindikana kutibiwa hospitali kabisa na wanawaza kabisa kukupa dawa Lakini...
MKUU WA WILAYA WA TEMEKE MHE JOKATE MWEGELO AJA NA TEMEKE GULIO - SOKO LA MAKANGARAWE LAKAMILIKA
Rasmi sasa Tarehe 19/11/2021 ndani ya Soko Letu La Makangarawe WanaTemeke tunaenda kuandika...
Habari wadau wa jukwaa la biashara,
Leo nahitaji kufahamu bei ya Silver na Gold kwa maduka ya Dar na ni duka gani zuri kwaajili ya kuuza au kununua bidhaa hizo kama vile cheni, pete n.k
Asante
Habari wana JF,
Kesho nataka kwenda Ilala wanapopoint mitumba asubuhi, naomba kuelekezwa ni Ilala ya boma au hii ya amana hospital, natokea Gongo la mboto.
Asanteni [emoji122]
Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji...
Nimeona katika data za bank ya dunia kwenye Google kwamba GDP ya Tanzania kwa 2020 Ni dollar 62.41 billion..sikuzingatia Sana shuleni mambo ya accountant na finance au pengine nimesahau maana...
Habari za wakati huu,
Wakubwa shikamoo, wadogo zangu marahaba, wale wa rika langu good morning.
Nimejifunza sana kuhusu pesa za kidijitali, hivyo nimeona sasa ndio wakati wa kuanza rasmi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.