Habari Ndugu zangu wanajamii wenzangu
Leo nmependa kuongelea moja ya biashara ndogo na zenye kuhitaji mtaji mdogo na faida kubwa sana.
Biashara ya Sendo za Kimasai.
1. Mtaji
Biashara hii...
Habari za majukumu wakuu!
Nadhani humu kuna watu wanaojihusisha na hii biashara ya kununua korosho(Almaarufu "Kangomba") kule mikoa ya Lindi & Mtwara.
Naomba kwa wale wazoefu basi watoe uzoefu...
Wapambanaji wa hapo Kariakoo, naomba mtuambie business gani atleast ni rahisi kwa mtu mgeni anaweza akajitosa hapo, na kaanza biashara hata kwa mtaji mdogo.
Maana population ya hapo Kariakoo...
Najua wengi wana akaunti katika mitandao ya kijamii; sasa ni wakati wa kutumia hiyo mitandao kuingiza pesa.
Anza hivi:-
No. 1
Tengeneza 'database' ya mambo yote yanayohusu ujenzi
Ingia...
Habari wandugu,
Kama unakijua Kinyarwanda au unamjua mtu anayekijua Kinyarwanda kuna kazi ya transcription (kuandika kile unachokisikia). Ni kazi ambayo itadumu kwa muda wa miezi 3. Malipo ni...
Mu-hali gani wakuu??? Maisha magumu sana, kila kukicha mambo yanazidi kuwa magumu, nilifanikiwa kuanzisha ki'biashara flani (maji na juice kwa jumla) hapo Dar ila mimi nilikua mkoani naongeza...
Mazao jamii ya maharage ni maharage, kunde, choroko, mbaazi, njugumawe nk. Kutokana na idadi ya wasio kula nyama duniani kuongezeka soko la mazao haya limeongezeka sana. Mazao haya hutumiwa na...
We are looking for an investor who is willing to invest $50,000 and above. We are currently expanding our Company ( Shamwaa Africa) And we would like you to join this low risky Air Cargo business...
Bila shaka mu wazima na shughuli za maendeleo wana jamvi.
Ni takribani miaka mitatu sasa tangu nimekabidhiwa nyumba ya urithi, nyumba iliyokuwa chini ya uangalizi wa walezi wangu kwa muda mrefu...
Salamu wana jf.
Kwanza kabisa nipende tu kuanza Uzi wangu kwa kumshukuru mungu na wema na fadhiri zake. Anazotupa pumzi na uhai wake.
Pili niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi nipo mkoa wa...
Habari za Asubuhi;
Wote tumezoea kusikia habari matajiri wa dunia na kiwango chao cha utajiri.Kuna ambao huwa tunafikiri hawa matajiri wana vyumba vimejaa minoti,wanamiliki hekari na hekari za...
Kwakuwa serikali haiwezi kuwa na maeneo kwa machinga woote nchini hivyo Maeneo wanayopewa wamachinga ni kwaajili ya wafanyabiashara wadogo wasiokuwa na mitaji mikubwa ya kufanya biashara kubwa...
Wanajamii poleni na majukumu, nipo hapa Dar es Salaam hila natokea Mkoani Kagera ambako kuna wakulima wa Vanilla wengi mno na zao hilo limekosa soko.
Wanakijiji wenzangu wamenituma niwatafutie...
Habari waungwana ningependa kujua ni wapi chimbo la vyombo vya mtumba vya majumbani kama sahani,vikombe ,jars za kuwekea maua,flampen na vyombo vingine kwa dar es salaam
Habari wana JF?
Nina mtaji wa Tsh. million 7 naweza kupata msaada wa kitaaramu wa biashara?
Nimeona niulize pia kwa ushauri wenu kwa ambao mpo humu, naweza kuanzisha biashara gani pale Katoro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.