Habari, madini tajwa hapo juu yanahitajika Sokoni Dar es salaam... kwa wingi...
tuma picha ya mzigo ulonao, sema na offer yako...
tuma picha kwa Whatsapp 0714417641...
Asante.
Huyu JATU anajiita JATU PLC, Public Limited Company maana yake yuko kajiorodhesha kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Sina hakika kama yuko kwenye soko la hisa ila ninacho jua ni aina ya upigaji...
Habari za jioni Wana JF ,Mimi ni kijana mjasiriamali ,nina jishughulisha na biashara ya kutengeneza na kuuza Milk products kama Yogurt na Cultured milk(mtindi) ila changamoto ninayopata ni baadhi...
Tuanze na mtaji mdogo tu, labda una shilingi laki 5 na hujui ufanyie shughuli gani; fanya yafuatayo:-
Nenda sokoni, na utafute wamama watu wazima watano wenye vibanda; ambao ni wapambanaji...
Habari na karibu katika fikra za kujilisha ufahamu na kuelimika...
Nakuletea andiko story for change Ndimi mwandishi wako Jeef George andaa mawazo ,uelewa na maswali yenye kufumbua mboni za watu...
Habari wana chamvi, nimesoma uzi kuhusu mada tajwa hapo juu nami nataka kushirikishana uzoefu wangu kuhusu huyo 'mwekezaji".
Huyo bwana anaitwa Tariq, mwaka juzi 2018 nilisoma bandiko lake fb...
Leo nime ona niwape mchongo
Vijana wengi wa kitanzania ambao
Mnataka kufanya biashara ambavyo
Vitawapa mafanikio
Nendeni nyarugusu kwenye kambi ya Wakimbizi
Kuna pesa nyingi saana kule...
Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na...
Kichwa cha habari kinajieleza, kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu natarajia kufungua library ya kuuza na kukodisha CD. Sasa naombeni ABC zote za maeneo niliyotaja hapo juu, sehemu kwenye mzunguko...
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bwana Macrice Daniel Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo ya kibishara na Maafisa Biashara wa kampuni ya MultiChoice Tanzania maarufu kama DStv...
Hello wanajamii,
Ninataka nizifanyie kitu hizi 25million (after taxes, rents and fees) pale mjini Dodoma. So nilipata options tatu ambazo kwa kupitia uchambuzi na miongozo yenu inaweza kunisaidia...
Waja JF wasalaam
Natambua changamoto za biashara, hiz sio kwamba nilizipitia bado naendelea kuzipitia
Hivyo nilikuwa naomba kwa yeyote ambaye angalau anauwezo ktk hii biashara tushirikiane...
Hello! Heshima kwenu.
Kwa wajuvi katika sector ya usafilishaji wa anga(airline). Naomba muongozo wa taratibu za kuwa travel agency wa kampuni za ndege.
Kama uko na A.B.C juuu ya hiri swala...
Habari zenu wakuu,
Naomba msada kwa anayejua Charges za Simbanking kutoka Account ya CRDB kuhamisha kwenye account ya NMB kwa kiasi cha kama 2m mbili makato ni kiasi gani?
Si mnajua kwasasa kila...
Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006
Mimi...
Habar zenu wana JF.
Naomba kujua kampuni zinazosafirisha vifurushi kwenda Kenya, Rwanda & Uganda.
Mimi nafanya biashara online, napata wateja wengi kutoka nchi tajwa hapo juu ila changamoto ni...
Hello marafiki,
Naelewa wanaJF ni wajuzi wa mambo. Na kupitia uzi huu wengi watafaidika.
Ningependa tufuhamu jinsi ya kupata Uwakala wa vinywaji vya Azam:
Vigezo unavyotakiwa kukidhi.
Mtaji...
Wakuu habari za jioni?
Natamani Sana kuanzisha biashara ya Grocery ambapo nitakuwa nauza vinywaji mbalimbali kama vile bia, soda, maji, wine, konyagi, K-vant, valeur, n.k. lakini pembeni niwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.