Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Hellow... Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana...
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Wadau katika mizumguko yangu nimeenda mkoa fulan nimekuta bei ya mkaa ni elfu 5000, gunia. Naomba kwa anayejua utaratibu wa kusafirisha mkaa kwenda dar, nitapataje kibari chake. Ili nisipate tabu...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wasalaam Watu wengi sasa wameanza kuamini biashara kwa njia ya mtandao. Leo jioni nimekuwa kwenye ofisi moja idadi ya wateja na Mahala ilipo hakuna uhusiano. Baadae nikagundua wote wanawatolea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello wana Jamii, Wenye ujuzi juu ya mtaji unaohitajika kuwa wakala wa vinywaji wa azam na vile vya coca cola mfumo wa take away. Yani namaanisha kuchukua mzigo direct kutoka kiwandani...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua ni fursa gani zipo za kibiashara kwa nyanja zote katika Mkoa wa Kigoma. Mimi natokea Dar na kwenda Kigoma kwa shughuri za kikazi tu wadau naomba kujua.
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Katika hali isiyo ya kawaida na ukimya wa hali ya juu, ndege zetu za kifahari kuwahi kutengenezwa kwa matumizi ya kubeba abiria, zimebadilishwa Matumizi na sasa zimeanza safari za kupakia mizigo...
6 Reactions
71 Replies
4K Views
Kuna jamaangu mmoja yupo Dar juzikati akaniuliza kuhusu bei ya kuku Dodoma.nikamwambia sijui mana mm nipo mjini ngoja niulizie watu wa vijijini. Nilivyouliza watu wa vijijini wakaniambia kuku...
8 Reactions
51 Replies
12K Views
Habari za muda huu. Nakuja moja kwa moja kwenye mada wazee, nina gari aina ya Noah sasa sijui niifanyie nini. Kwa mwenye mchongo naomba unipe hata route za kupiga hela au hata ishu za private...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
We recently got our hands on some photos about latest CAMON model from TECNO, rumored to be coming out in early October. Not many details were available about the new phone just yet, but the...
2 Reactions
4 Replies
563 Views
Leo nimepanda bolt bodaboda dah.. yule dereva kanifurahisha sanaa uwezi amini kaajiliwa kwenye compuni ya ulinzi akajichanga kanunua pikipiki sasa akiwa off anapiga mzigo mchana kutwa akiingia...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Nahitaji kufanya manunuzi Amazon, lakini nashindwa kufanya malipo kwasababu system inanijibu kwamba muuzaji hawezi kutuma mzigo kuja Tanzania. Wazoefu na hili huwa mnafanyaje? Sellers Amazon au...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Je una uwezo wa kupata tairi mbovu? Chakavu? Kubwa kwa ndogo? Je unaweza kupata mipira ya matairi ama kamba zake? Je unaweza kupata masalia yoyote ya tairi au hata chenga zitokanazo na kuchenjua...
7 Reactions
99 Replies
12K Views
Kama picha zake zinavyoonyesha wakuu. Naomba kujuzwa hili jiwe linaweza kuwa ni madini ya aina gani!? Maana lina vitu vinavyo ng'aa ng'aa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WanajamiiForums Habari za saa hizi, Nipo hapa naomba ushauri wa location ya kufungua Biashara ya Ufundi simu. Mimi nikija niliemaliza chuo mwaka huu 2021, ukiachana na tahaluma niliyosomea chuo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mbuzi ni mnyama anae lika sana Tanzania, kwa sherehe za kifamilia au hata social gatherings mfano birthdays, kutoa mahari, ubatizo nk. Pamoja na hayo mbuzi choma ni kitafunwa pendwa kwa...
2 Reactions
14 Replies
37K Views
Mimi ni wakala ila sina uzoefu nimeanza hizi mishe nina kama mwezi hivi. Naomba kuelekezwa kuna wateja wa Voda na wa Airtel huwa wana kuja na msg wakiwa wametumiwa pesa kutoka mitandao tofauti...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Habarini wakuu, nahitaji kuwa wakala wa vifaa vya usafi majumbani, wapi wanauza Kwa bei ya jumla Kwa DSM? Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nataka kuwa wakala wa nywele bandia za makampuni ya hapa Tanzania mfano daring hair, prima hair n.k. Mwenye uzoefu wa biashara hii na pia utalatibu wa mchakato mzima pamoja na kianzio cha mtaji...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu wana JamiiForums nimekuja kwa mara nyingine kuomba ushauri kuhusiana na biashara ya bucha. Huu mwaka ni mpango wangu wa kuongeza biashara nyingine ili kukabiliana na ukali wa maisha...
1 Reactions
21 Replies
14K Views
Emerald is the most precious of the beryl group (aquamarine is also beryl). The name "emerald" seems to have come from the Persian word for "green stone". Emeralds are usually considered to be...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom