Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari ndungu wana JF Naomba msaada kwa anayejua vizuri biashara ya car wash au mwenye uzoefu nayo plz
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Maisha ya hapa duniani ni kupambana ili kuweza kumudu mahitaji yako ya kila siku. Na ili ufanikiwe inabidi kuweka aibu chini na kupambana kwa juhudi na maarifa ili kuweza kutimiza ndoto zako. Kuna...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu na jamaa ukweli mchungu juu ya hawa ndugu zetu wamachinga.asubuh ya Leo katika mazingira ya ajabu wameanza Tena kujenga vibanda upya walivyo vunjiwa Jana. Hii inasikitisha na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwema wakuu, tupeane mwongozo kwenye hii biashara ya nyama ya ng'ombe, bei ya nyama, vifaa vya ndani ya bucha, mizani ya kisasa,Cetc. Location ni Mwanza, maeneo ya chuo cha Saut huku. Nimeona...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu moja kwa moja tuingie kwenye bandiko letu Kama kichwa Cha habari hapo juu dhumuni la uzi tuweze kubadilishana mawazo wana JF bidhaa zepi zenye fast moving pale k,Koo kwasababu pale...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Na. Mwandishi Wetu Uongozi wa Wanyabiashara Wadogo Wadogo maarufu kama Machinga wamekubaliana na uwamuzi wa serikali wa kuwapanga katika mfumo mpya na rafiki kwenye mikoa yote nchini...
1 Reactions
6 Replies
842 Views
Wakuu hivi wapi naweza nikaajili gari aina ya fuso 210 fighter kwajili ya kujihakikishia kipato mwisho wa mwezi? Trip town zinataka upepo mda mwingine
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Habari wana JF Mimi ni kijana mtafutaji kama walivyo wengine wengi katika pita pita zangu nikaona fursa Fursa yenyewe ni kuuza nafaka ambazo zimeshaongezwa thamani tayari Ili kufanikisha hilo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jaribu Kufikiri, Umehangaika kutafuta business opportunity kwa njia unayoifahamu wewe,ukatafuta mtaji,ukaajiri wafanyakazi ili mfanye kazi pamoja mjenge kampuni,mjenge maisha.Ila Kila mara...
2 Reactions
5 Replies
833 Views
Nafahamu kuna biashara ya vipodozi vya gharama kubwa, ya kati na vya chini. Naombeni kujua je nikiwa na milion moja naweza kupata chimbo la vipodozi vile vya saizi ya kati? Yaani zile sabuni za...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa jarida la Forbes mwaka 2021, utajiri wa Mabilionea kutoka bara hili uliongezeka kwa asilimia 12 zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hivyobasi tunaangazia vyanzo vya mali walionayo na...
8 Reactions
34 Replies
8K Views
Habari ndugu wadau nimeona ni shiriki katika mjadala huu nikiwa moja ya vijana tulio wengi mtaani ambao kimsingi tunapambana na changamoto ya ajira na ukosefu wa ajira za kutosha. Mimi kama...
3 Reactions
5 Replies
851 Views
Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo. Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru. Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa...
1 Reactions
2 Replies
865 Views
:):):):):):):) Funny Facts! Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10, thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo...
12 Reactions
36 Replies
3K Views
Mimi nauza vitu mbalimbli ziko specific nilianza kuagiza agents wakibongo wanaoishi china now naagiza mwenyewe, nauza socks sana tu pea tano(20000) mara nyingi nauzia insta ila nikapenda kutangaza...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna kila ISHARA kuwa magonjwa nyemelezi yatateuwa mkoa wa DODOMA kwa sababu ya shambulio la alshababu la SERIKALI KUHAMIA DODOMA... Ni vyema CCBRT MKASOGEZA huduma kwa wananchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenye Ufahamu Juu Ya Biashara Ya Kuku Wa Kienyeji Au Nafaka Kutoa Dodoma Kuja Dar es Salaam. Naomba Tuwasiliane
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la muungano wa Tanzania, Nikiwa nimetua Tanzania kutoka urusi, kumalizia mambo yangu ya propaganda za kichumi za hapa na pale! nkakutana na maoligarchy wenzangu flani wa...
16 Reactions
40 Replies
5K Views
Back
Top Bottom