Wakuu kwema? Naona watu wengi Sana tumejaa mijini nakufanyia biashara palipo na senta, lakin Kuna mazingira ya kishua tumeyatenga mfano Kuna sehem nimepita naona hakuna huduma ya duka karibu na...
So you have seen the advertises on the internet or maybe been to a seminar on how forex will make you rich overnight.The truth is to tell you the reality that 90% of retail FX clients do not make...
Wakuu nahitaji mteja wa mbao.naahidi kuwa Bei itakuwa rafiki na inayoendana na Hali kubwa zaidi mteja ana Uhuru wa kununua mbao kwa mjibu wa vipimo anavyotaka yeye.
Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa.
Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu...
Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi?
Bana...
Nimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla..
Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba anaejua sehemu wanayobadilishia pesa ya republic of Dominica anisaidie maana nimejaribu kutembea kwenye maduka ya kubadilishia pesa (bureau de change)...
Fursa tulizo nazo katika kipindi hiki wazazi wetu hawakuwahi kuziota.
Zamani sana kazi ilikuwa ni moja tu,Kilimo au ufugaji.Kazi nyingine ziliendelea kuzaliwa kadiri teknolojia ilivokuwa inakua...
Naomba ku share nanyi kuhusu fursa hii ya biashara ya maziwa nchini.
Kwa tathimini ndogo ambayo nimeifanya mimi mwenyewe hasa kwa kanda ya pwani kama mkoa wa pwani na morogoro nimegundua maziwa...
Habarini wanajamvi, mimi ni muajiriwa wa private sector. sasa kama mnavyojua jamani maisha ni kujitafutia mbali na kauajiriwa.
Kwa upande wangu baada ya kukaa kwenye ajira kwa miaka mitatu...
Wakuu kwema, nimepata frame Tegeta kwa ndevu ipo ndani umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami, hiyo nyumba yenye frame ni lodge ina milango minne ipo njiani kwenye road za mitaan, Kodi ni...
Uhuru wa kifedha ni ule uhuru wa kufanya mambo kama upendavyo au kutekeleza mahitaji yako yote kama upendavyo.
Uhuru wa kifedha sio uwezo wa kuoanisha mapato na matumizi tu bali ni uhuru mpana wa...
Wabongo bwana! hakuna kipato rahisi hasa online forex and ather online investmen kwenye bitcoin kuekeza kwenye coin Kuna changamoto nyingi sana hasa bitcoin all company ni total Scams.
Nimeingia...
ONGEZA MAALIFA KIDOGO, WANAUCHUMI KARIBU KWA MAONI.
Hili game ni mfano wa kundi la watu watano( hapa namanisha banks,commercial banks, hedge funds n.k), wamekaa chini wamedesign system inayopanda...
WELCOME TO ANC ASSOCIATES
ANC ASSOCIATES is a Certified Public Accountants in Public Practice Firm registered by the National Board of Accountants and Auditors of Tanzania (NBAA) as Audit and...
Habari wakuu!!
KARIBU kwenye mada yetu ya Leo,
Katika maisha kila mtu anakitu au jambo fulani ambalo wengi wetu tunatamani kufanya Leo nataka tujuzane au tufundishane kuhusu hilo na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.