Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Tulipotoka; Tulipo; Na Tunapoelekea. Miaka 100 ya historia ya Fedha na Uchumi wa dunia. Let's Do it Great Thinkers [emoji116][emoji116] 1. Historia ya dunia tunayoishi (industrialized world)...
25 Reactions
51 Replies
5K Views
Kuna fursa nyingi makaburini nawapa wale wavivu wa kufikiri ziko za kuanzia kuchimba na kujenga makaburini, kuuza Sanda na majeneza, kukodisha mahema na viti na kuviweka makaburini, kukodisha...
1 Reactions
1 Replies
828 Views
no miezi sita Sasa imepita tangu nifungue biashara ya mahitaji ya nyumbani duka langu so kubwa saaana ni kawaida tu kwa maana ndo naanza Ila Sasa nimekua nikipitia changamoto ya kukosa wateja...
3 Reactions
25 Replies
12K Views
Habari zenu Naombeni mliowahi kusafiri huko mnijuze ni safari inayochukua masaa mangapi kutoka east africa hadi USA Pia naomba kujua nchi ambazo ntapitia na kubadilisha ndege kama utaratibu huo...
3 Reactions
25 Replies
14K Views
Habarini wanaJF, Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania. Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kama vijana tunapata changamoto nyingi katika kupambana na maisha yetu ya kila siku, na baadhi yetu tukiwa tunajiuliza tutatoka vipi? Kwani biashara nazo zimekua shida kwani...
11 Reactions
71 Replies
15K Views
Mimi ni mchimbaji mdogo nipo na eneo la uchimbaji tatizo ni vitendea kazi,natafuta mtu mwenye kuweka compressor tu kwa ajili ya uchimbaji. Nitamlatia shares,Kama na Kuna mwenye kuweza kupata ball...
0 Reactions
1 Replies
877 Views
Stendi za mauwa nzuri Pia vitanda vya chuma vya kisasa 0679841378 Dar es salaam popote ulipo 0782541378
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakubwa, Naomba kuuliza vigezo vya kuwa wakala wa NMB bank. Ahsanten
0 Reactions
10 Replies
16K Views
Bismillah. Naomba kujua kwa mtu yeyote aliyeishi au kununua mtumba mji wa bunjumbura. Kat ya Dar na Bujumbura wapi mtumba wao n mkali na bei yao inatofaut sana na huku? Help me niga mi nko...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu naomba wanauchumi wanisaidie vitu hivi Nimejalibu kupitia bond investment calculator ya BOT, nimejalibu kuweka tsh mil 500,000,000 kwa muda wa miaka 25 na nikabofya calculate...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyojieleza kama unamzani mkubwa namaanisha ile ya kupimia kilo 100 na kuendelea njoo chemba tuyajenge nipo DAR ES SALAAM
1 Reactions
1 Replies
859 Views
Bila kuwapotezea mud me ni Graduate wa IT na ktk kutafuta kazi sioni mafanikio ila nina wazo la kuanzisha saccos ambayo itajumuisha vijana wote wa mahali ninapo ishi tatizo cjui utaratibu wa...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani tufafanulieni Soko la pamoja la Africa ni kitu gani
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni kweli kwa sasa kabla ya kukamilika kwa mradi wa umeme wa Stieglers Gorge Power Project au Nyerere Hydropower Plant, Tanzania kuna upungufu wa umeme unaosababisha kukatwa katwa umeme kwa mikoa...
0 Reactions
2 Replies
807 Views
Wakuu habari,,nataka kufungua duka la vinywaji hasa vileo kwa bei ya rejareja maeneo ya Tabata ila bei zangu nataka ziwe za chini kama kwenye super markets vile,,kama Wine, Whisky, Beer shampagne...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Hello JF members Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi. Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3. Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote...
6 Reactions
10 Replies
18K Views
Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Naweza kuanzisha mgahawa kwa mtaji wa shilingi ngapi katika jiji la mwanza
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310. Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko...
12 Reactions
98 Replies
8K Views
Back
Top Bottom