Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za asubuhi wana jamvi. Niwape hongera kwa kuendelea kua hai mpaka dakika hii..Shukran ziende kwa Allah. Niende kwenye mada...nataka kuanza kutengeneza cookies kwa ajili ya biashara naomba...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Hivi cage ya kufugia kukua 100 naipata kwa sh ngapi na inaweza occupy space kiasi gani msaada wakuu.
0 Reactions
1 Replies
702 Views
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA: ANZENI KUTOA HUDUMA KUPITIA VITUO VYA HUDUMA PAMOJA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza taasisi za Serikali ambazo haziajaanza kutoa huduma kupitia vituo vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau nahitaji mteja wa kuaminika wa vanilla kavu. naanza na kg 120 zilizopo. mwenye offer nzuri ya nje au ndani atoe mchango wake kwa mjasiriamali mimi. mteja awe dar au bukoba
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau wa Biashara na Uchumi, Nchi yetu inapitia kwenye hatua za makusudi za kuinua uchumi ulioathiriwa vibaya na corona. Tunatoa wito kwa kila mdau wa sekta yoyote, asimuachie jukumu hili...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi...
3 Reactions
34 Replies
7K Views
Nnastationery kubwa nauza bidhaa za ofisin na mashuleni,natoa copy na kuscan pia napiga paspoti na huduma za kibenki,ni huduma gani tano nyingine naweza kuwa natoa .
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu, kijana wenu naomba kujua naweza kutumia usafiri gani kusafirisha pikipiki kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma pamoja na bei zake. Kama kuna kampuni utairecommend pia...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Nawasalimu ndugu zangu wa JF, Habarini! Niende moja-kwa-moja kwenye mada husika. Mimi ni kijana (21), mjasiriamali wa kilimo na mwanafunzi (UDSM). Kutokana na harakati zangu za kilimo cha...
20 Reactions
67 Replies
18K Views
Habari ya leo wakubwa, Leo nimeona niwashirikishe hii changamoto ya uchafu watu wanao fanya biashara zenye matumizi ya choo kwa wateja wao inavo weza kuwa kikwazo cha kuwa na wateja wa kudumu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nataka kuingia kwenye biashara ya mbao naomba. Kwa wajuvi wa mambo haya mchakato mzima unakuwaje.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu kwa wale ambao niwazoefu kwenye hzo cryotocurrency hasa upande wa wallet nimeona baadhi ya wallet charge yake Ni kubwa Sana mfano remitano kuwidraw wanakata Zaid ya 0.0005btc lakin...
3 Reactions
64 Replies
6K Views
TBS: WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI JITOKEZENI KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA MNAZOZALISHA Na Mwandishi Mwanza WAFANYABIASHARA na wajasiriamali wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kujitokeza...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari yenu Mimi ni Kijana mjasiriamali na ni mtaalam wa computer haswa Hardware na Software naomba kama Kuna mtu mwenye Keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500 aniuzie pia unaweza kunicheki WhatsApp...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za majukumu, ninajua kuna blogs,website na platfom nyimgi tuu za ndani ya nchi na nje ya nchi ambazo hulipa waandishi baada ya kupublishi habari zai. Kwa mwenye connection ya jinsi ya...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jamii forum. Kama kichwa cha habari hapo, naweza kupata wapi connection ya kupeleka bidhaa yangu ya Korosho nje nchi. Korosho ambazo zipo packed, zile za kuokwa na salted...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
TUJIFUNZE KIDOGO KUHUSU HIZI LINKS NA EMAILS NAOMBA MUWE MAKINI SANA NA LINK ZINAZOSAMBAA MTANDAONI. [emoji3578]Kwanza naomba nianze na maana ya hizi htpp:// na htpps://...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu hope mko poa. Nimeanzisha bihashara mwezi wa kwanza, mtaji ni 2m.(Duka la rejareja) Sasa nilipo kuna demand kubwa ya vinywaji lakini sina friji, nilienda Bonite kuomba friji, wamekuja...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Back
Top Bottom