Hivi ni vitu gani wanajamvi? Vina tofauti na DECI? Vinatofauti na zile stori za 'alikuwa kipofu sasa anaona; alikuwa kiwete sasa anatembea'?
kindly update.
Wadau, nimeandika Kitabu cha somo la General Studies kinachoitwa " EXCEL in General Studies". Ni Kitabu cha maswali na majibu. Kuna jumla ya maswali 108 pamoja na majibu yake. Somo hili...
Habar wapendwa Mimi Nina mtaji wangu wa million 1 nataka kufanya biashara ya matunda soko la buguruni niwe natoa Moshi parachichi na ndizi nije kuuza hapa buguruni naomba mwenye uzoefu au...
Wadau naombeni msaada ni chimbo lipi zuri naweza kwenda kuchimba madini hasa ya dhahabu. Mkoa wowote au chimbo lolote nipo tayari kwenda. Kwa wale wachimbaji wadogo ambao mnachimba tayari naombeni...
Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi...
Kichwa cha habari chajitosheleza. Wananzengo nimeamua kujiloweka kwenye madini ya Gold.
Naomba msaada kwa yoyote anayemfahamu au kuifahamu kampuni hiyo. Njoo PM
Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG
Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na...
Habari za humu, naomba kwa anayefahamu biashara ya Vito vya thamani Kama rubby na Tanzanite. Naomba muongozo nahitaji kufanya hii biashara. Natanguliza shukrani.
Habalini wakuu... Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada...Ni mda nikisikia kua kuna uhitaji wa bidhaa za mjerumani, hasa pasi....
Je ni kweli pasi hiyo ukiipata ni Mali na soko likoje na liko...
Wakuu habari..
Nina gari aina ya Alphad, nafikiria niifanyie biashara ya kuikodi, kwenye shughuri mbali mbali,...
Kwa wazoefu, naomba mnipe mbinu za kupata wateja, maana sina experience kwenye...
Habari za jioni wana jukwaa, poleni na majukumu ya kazi mimi elimu yangu ni form 6(PCB) nlifanikiwa kwenda chuo ila nilidisco kuanzia hapo napambana shughuli za hapa na pale nna uzoefu na...
Kama mmeshindwa kuendesha kitengo cha Customer Care ni bora mkafanya outsourcing tukajua moja kuliko kuendelea na hali iliyopo sasa hivi kwasababu you guys are just pathetic and irresponsible...
Ubalozi wa Marekani hapa nchini umetangaza kuwa Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. itanunua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya soko
Ubalozi huo umesema taarifa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.