Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wana jamvi?poleni kwa shughuli za siku nzima ya leo. Mimi ni mhitimu wa chuo nlisomea fani ya uhandisi mitambo (mechanic's engineering ),nlipokua bado chuo nliweza kutengeneza wazo la...
2 Reactions
12 Replies
9K Views
Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Kama huna wazo la kufanya Biashara yoyote mpaka umepata hiyo hela...
4 Reactions
145 Replies
25K Views
Habari wakuu Mimi nina SHAMBA LENYE MITI ASILI kama vile mininga na mingineyo, Mimi binafsi sina vibali vya kusafirishia Hivyo natafuta mtu mwenye vibali, pia akiwa na mashine kubwa (chainsaw)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii. Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama...
6 Reactions
11 Replies
4K Views
habal wana jf Moja kwa moja kwenye mada Ili uweze kufanikiwa, ni lazima kujiwekea misingi imara ya kimafanikio itakayokuwa ikukuongoza kila siku. Bila kuijua misingi hii mapema sitashangaa kuona...
15 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari wadau natafuta mwekezaji mwenza kwenye machimbo ya magnecite Lugoba. Nina machine zote za uchimbaji, nahitaji mtu atakae wekeza kwenye mafuta na kulipia gharama za opereta wa machine tu, na...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna aina mbili za uombaji wa fedha ama ruzuku kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi; aina ya kwanza ni kuomba ruzuku baada ya kutangazwa wito wa kuwasilisha michanganuo ya miradi (hii tunaita...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Asalaam wanajamii, Nataka kujua kama nataka kununua shares naanza wapi?
0 Reactions
31 Replies
9K Views
habarini wanajamvi kama mtu ana maroli ya usafirishaji wa bidhaa i mean transit na akitaka kujisajili iwe kampuni je kuna faida zipi na hasara zipi hasa ukizingatia kwenye taratibu za ulipaji...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Naomba kuuliza wanajamii forums je gari hii inafaa kwa mazingira ya Tanzania? Ninachovutiwa ni kuwa na matumizi kidogo ya mafuta. Na pia Suzuki zinaonekana kustahimili misukosuko ya barabara zetu...
0 Reactions
44 Replies
20K Views
Hii ni zaidi ya kuisoma namba, sio hali ya kawaida kabisa!. Inatisha! NB: Mimi ni Mpangaji.
7 Reactions
40 Replies
5K Views
Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo. Tuwasiliane kwa namba 0713851751
0 Reactions
1 Replies
653 Views
Habari za asubuhi wana jukwaa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana nimeoa ninafanya kazi katika kiwanda kimoja hapa Dar, nina mkataba wa miezi 6 now imebaki 3 mkataba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Imeshapita miaka miwili sasa tangu Ontario awafundishe ku download pesa na msemo wenu wa Forex is not for everyone.... mkasema tuwaache mpige pesa vipi jamani Mnaendeleaje na Kudownload fedha...
27 Reactions
88 Replies
17K Views
Wakuu habari zenu,leo nimeona ni share idea ambayo imekuwa kichwani kwangu kwa muda mrefu juu ya hii biashara ya kuanzisha ukumbi wa sinema.mtu yoyote ambae ataipenda hii idea nipo tayari kumpa...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Habari zenu wadau, Naomba tujuzane kidogo mbinu mnazotumia kuendesha hii biashara. Kwa muda kidogo nimepata changamoto za uendeshaji wa hii biashara nikiwa kama mmiliki wa chombo(gari), kutokana...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia...
13 Reactions
22 Replies
3K Views
Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria. Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini. Na moja ya mambo ambayo watu...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Back
Top Bottom