Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudumia wateja ukifika muda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao?
Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu.
Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya...
Habari za wakati
Kufikiria sio kazi rahisi,ni kazi ambayo ina ugumu wake.
Je unafikri unaweza kuzalisha ajira kwa ajili ya vijana 5 wa Kitanzania katika eneo ulipo?Je ajira utakayowapatia...
Waungwana habari ya leo....?
Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania.
Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni...
Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma.
Kwa sababu bado sijampata...
Habari wanajamvi, msaada wa mawazo yenu hapa.
Nilikuwa nina wazo la bihashara ya wasichana wa kazi ( house girls) mwaka jana, lilikua niwe nawatafuta mabinti nawapa mafunzo kiasi jinsi ya kufanya...
MUDA& SPECIALIZATION
Nimejifunza kutoka kwa tajiri mmoja ambaye aliwekeza juhudi&maarifa yake kwenye kitu kimoja kwa muda mrefu, matokeo yake nimeyaona baada ya miaka kama 20.Leo hii anakula...
Habari za humu ndani jamani.
Naomba kujuzwa na wazoefu wa huu mfumo wa kuweka pesa kwenye Fixed account, kwa mfano mtu akiweka 3,900,000 labda kwa miezi 6 halafu calculation ikaja kuwa atapata...
LEO
Tuelekezane kidogo, kutokana na ugumu wa mtaji, ajira nk...
Hivi ukiwa na kihasi kama cha 300,000/= mpaka 400,000/= cash unawezaje/mishe gani utaifanya kui-Double muda wa miezi miwili tu...
Onyo:
Usijaribu nilichokifanya kama huna ozoefu katika biashara hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid-19.
Tuanze na maelezo.
Je Umeshawahi kucheza ule upatu wa uswahilini ule wa kuchanga...
Habari wakuu natumaini mko poa na wazima wa afya
Niende kwenye mada husika
Kuna msemo usemao kuwa "umoja na nguvu na utengano ni udhaifu" hivyo basi mimi kama kijana Mwenye ndoto na malengo ya...
Hio Kampuni ya Media ambayo iko integrated kwa mambo ya tourism, ilibidi niiisimamishe kwa muda kwa sababu vijana waliokuwepo walikuwa waswahili, wavivu, na wasiojituma. Ili kuirudisha tena...
Kulinda uchumi wako si mpaka uwe na degree ya uchumi kutoka Stanford University hapana. Kinachotakiwa ni nidhamu ya fedha na kujifunza zaidi kuhusu fedha.
Elimu ya fedha ni elimu muhimu sana kwa...
Habari ndugu zangu, kuna swali ambalo huwa linanisumbua kichwa changu muda mrefu.
Hivi Ili inchi itengenezewe au ichapishiwe pesa yake huwa unafanyika utaratibu gani? Inalipia pesa kwa ajili ya...
Heri ya mwaka mpya.
Naomba nisiwe mtu wa maneno mengi. Eneo ninaloishi nimeona kunafursa ya kutoa huduma ya Gesi ninaomba kujua yafuatayo ili niweze kuichangamkia fursa hii.
1. Kwa kuanza...
Habarini humu ndugu zangu. Wakubwa shikamoo, Wadogo mambo niaje?
Niende kwenye point yangu; Nimepata wazo la kufungua ofisi ya kutengeneza simu na kuuza vifaa vyake.
Mimi sio fundi ila...
Wakuu,
1. Fahamu Biashara Yako Nje Ndani
Muda kama huu kama huifahamu biashara yako kindakidaki utakwenda na maji tuu. Unakutana na mtu anakwambia nina biashara yangu ya butcher, unamuliiza kwa...
Tanzania: FAPA launches franchising project to bolster small enterprises | African Development Bank - Building today, a better Africa tomorrow (afdb.org)
The Fund for African Private Sector...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.