Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu napenda kufahamu Niliagiza mzgo wangu wa simu kwa kutumia FedEx kwa matumizi yangu. Nimejarbu kuwapelekea invoice kwa sababu unahitajika kufanyiwa clearance ila inaonekana gharama ni kubwa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Habarini Wakuu Poleni na majukumu Niko mbele yenu leo ninaombi moja kwenu nimekuwa nikiwaza sana kuhusu hii biashara ya ushonaji nguo kwa wiki sasa Nimefanya utafiti kidogo mtaani na kuuliza...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Wandugu salaam! Kwa wenye ufahamu mzuri kuhusu biashara ya vifaa vya ushonaji, naomba maelekezo hasa kama bado ina wahitaji kwenye jamii. Maana kuna mtu ananiambia nguo za mitumba na zile...
0 Reactions
11 Replies
11K Views
Salute wakuu !! KARIBU kwenye Jukwaa letu la Biashara, Uchumi na Ujasiriliamali. Leo nimekuandalia Biashara 10 ambozo ukizifanya zinaweza kukuleta mafanikio makubwa sana. Biashara Kumi (10)...
15 Reactions
65 Replies
49K Views
The South Africa Avocado Growers Association (Saaga) has been pushing to have the regulations to resolve a sanitary issue that has seen Tanzania’s Hass and Fuerte avocado exports to South Africa...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Heshima kwenu wakuu. Nilianzisha uzi hapa "huu ni mwaka wangu wa mwisho kuajiriwa" na kweli nilipanga kuacha kazi baada ya kuona mshahara hautoshelezi mahitaji yangu na familia kwa ujumla...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano!. Bila shaka mu wazima na kama una tatizo kidogo au sana la kiafya, basi natamka uponyaji kuanzia sasa, UPONYWE Kama kichwa cha habari...
0 Reactions
0 Replies
37K Views
Vodacom tunawaomba mfanye marekebisho kwenye upande wa m-pesa hasa commission tunazopata sisi mawakala n ndogo sana ukilinganisha na mitandao mengine. Mfano: 1. Mpesa mteja akitoa shs200,000/=...
12 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari wanajamii, Huu ni ukurasa ambao utakua ni maalumu kwaajili ya kutoa taarifa na maarifa kuhusiana na matatizo yanayozikabili nchi nyingi za Afrika na njia mbalimbali ambazo zinaweza...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Sio rahisi kuupata utajiri kama una sifa hizi: 1. Kuguswa kwa dhati na matatizo ya wanaokuzunguka yaani ndugu, jamaa na marafiki maana wapo wengi mno kabla haujawasaidia wote tayari ushakuwa...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
1. MAYAI YA KUCHEMSHA mchanganuo wake uko ivi - ukiwa na mtaji wa elfu kumi 10000/= unatosha kuanza biashara hii ambapo trey ya mayai moja inauzwa 7500/= mpaka 8000/= , pia waweza nunua trey zile...
6 Reactions
7 Replies
8K Views
Wadau habari za majukumu? Ninahitaji pikipiki ya mkataba ambayo nitarejesha elfu 70 kwa wiki kwa makubaliano ya muda ama miezi kadhaa baada ya hapo inakuwa yangu. Kwa mawasiliano na maelezo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Salamu kwenu Nipo Wilaya ya Ilemela kata ya Shibula katika Jiji la Mwanza Sasa Nina laki 5 (500,000/-) je hii naweza kufungua biashara gani ambayo itanipa faida fresh na haitakuwa na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷‍♂️ Eti ni kweli? Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa 👩🏿‍🦲👩🏿‍🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habar zenu natafuta mtu wa ku-share anaye eneo la kufanyia biashara mm binafsi sina uwezo wa kukod fremu ya biashara na nikalipia pekeyangu sasa naomba kama kuna mtu ana fremu ya biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanachama wenzangu wa JamiiForums, Naombeni msaada wa jinsi gani niweze kuanzisha biashara hiii na kuku wa aina gani wanafaa hasa hapa Jijini Dodoma na wezahitaji mtaji wa kiasi gani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu walevi wa gadget, Nimeamua kubadili upepo wandugu. Natoka kwa Mkorea kwenda kwa Mchina sasa. Akili yote ipo hapo kwa MI 11 Lite 5G. Tafadhali hii isichanganywe na MI 11 Lite. Hii...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habarini wanajukwaa! Natumaini kila mmoja wetu ni mzima wa afya, kwa wenye changamoto za kimaisha Mungu akawafanyie wepesi! Hii ni barua ya wazi kwa walioko vyuoni, wanaotegemea kuanza vyuo...
0 Reactions
6 Replies
928 Views
✍🏿 SWALI KUU HIVI KWA NINI MO NA BAKHERSA WANAKUWA MATAJIRI WAO TU? 💧 MO na BAKHERSA ni binadamu kama sisi wana kila kitu tulicho nacho, walikuwa maskn kama sisi pengine mwanzo tuliwazidi...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom