Habarini jukwaa labiashara, niende moja kwa moja kwenye mada, mimi nimejiingiza kwenye biashara yaviatu vyakike vyakimasai nakuna mtu yupo dar huwa ananiagiziaga mzigo huku mkoani. Sasa changamoto...
Salaam wana JF kama mnavyojua kuwa sasa hivi serikali iko macho sana, naomba kujuzwa hatua zote za kufuata ili niweze kupata kibali cha kufanya biashara ya mazao ya msituni yaani MBAO na MKAA...
Na Joseph ngilisho Arusha, Watalii zaidi ya 150 kutoka nchini Israel wanatarajia kutua nchini Tanzania kesho jumatatu kwa ajili ya shughuli za Utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa...
Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana.
TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye...
Wakuu. Habari zenu.
Katika pita pita zangu za kusaka pesa, nimekutana na milioni 4. Sasa nashindwa nifanye kipi kati ya hayo mawili.
Mi naishi Madale kwenye kibanda changu vyumba wiwili na...
Wakuu kwema, habari za weekend kwa ujumla. Poleni na majukumu pia.
Nataka Kuagiza mzigo kutoka China kupitia Kampuni ya FedEx Tanzania mwenye uelewa wa namna ya kuweza kunijuza kdogo process yake...
Watoa huduma za simu nchini wamepongeza uamuzi wa hivi karibuni wa serikali katika kuangalia upya kodi za miamala ya simu iliyotokana na sheria mpya ya fedha kwa mwaka 2021/22, huku wakisisitiza...
Vijana kazi yetu ni moja tu hapa mjini,kuinuana na kupeana mbinu za kusurvive ili kuepuka zile aibu za kurudisha mpira kwa kipa na yale maneno ya "Laiti ninge",katika maneno sipendi kusikia mtu...
Huko uliko bei ya mafuta ya petrol ni Tsh ngapi? Hali imeanza kuwa Tete baada ya kupanda Kwa bei ya mafuta.
Hali ikiendelea hivi, tutamkumbuka Magufuli mara kumi.
Serikali isipo angalia jambo...
August 2012
Dar-es-Salaam, Tanzania
Mzee Joseph Mfugale began his career as a carpenter in 1967. Although his formal schooling ended after the sixth grade, he went on to run two dry-goods stores...
Habari za uzima wanaJF,
nimekuwa mdau wa kufuatilia taarira mbali mbali za baadhi ya wafanya biashara wa Tz wakiwa wanalalamika juu ya Benki za Tz kwamba wanafatilia sana pesa zako benki , kuna...
BIASHARA
Biashara in shughuli yoyote ile inayofanywa kwa lengo la kupata faida
SIFA ZA MFANYABIASHA
1.kufutilia mwenendo mwenendo was bei
2.kuwa na uhakika na huduma kwa wateja ,kutoa...
Habari
Kutokana na risiti hii ya EFD
Swali langu ni kutaka kujua bidhaa za simu hazina VAT?
Bei ya simu ni 48,000 na imeandikwa na TOTAL EXCLUSIVE OF VAT = TOTAL INCLUSIVE OF VAT
Ina maana hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.