Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari zenu mabibi na mabwana. Naombeni mnisaidie ni wapi pale Mwanza nitapata mtumba grade A, na nitatambua vipi ni grade A na bei zake kwa shati, tisheti na suruali? Natanguliza shukrani.
2 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wadau naomba kujua trend ya soko la hisa kwa mkombozi bank kwa sasa! Pia naomba ushauri kwasababu kunamtu anataka kuniuzia hisa zake kwa maelezo kuwa amepata matatizo , Nasita kununua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natamani kuanzisha kiwanda cha kutengeneza miswaki,design mbalimbali,miswaki hiyo itatokana na vitu asili na siyo kama miswaki tunazotumia ambazo ni plastic,nimegundua zina madhara, Kama utapenda...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wadau! Kuna mchongo nausikilizia wa milion 100, wazungu wanasema "easy money" sija-sweat sijui hata nitazifanyia nini masikini. Itakuwa mbaya zaidi kama hundi ya pesa itadondoshwa harafu...
9 Reactions
74 Replies
8K Views
Wapambanaji mambo ni vipi, Mwezi unakata hata sijui nifanye biashara gani sababu kila nikicheki biashara ya kufanya sioni. Nilikua najichanga changa mwezi uliopita nikapiga hesabu nikapata...
8 Reactions
82 Replies
15K Views
Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning. Msaada...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Improvement in service Deliverance can be done through creation of a software that will be able to entirely collect all important information of a service-providing Centre The service proving...
0 Reactions
2 Replies
362 Views
HATUA ZA KUANZA BIASHARA 🖊️ Biashara ni kitu kizuri ila kinaweza kuwa kitu kibaya( itategemea na matokeo uyapatayo) 🎤 Ukizngatia hatu muhimu 10 biashara itakuwa ni kitu kizuri kwako *. 1. Kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sitausahau mkopo wangu wa kwanza kabisa. Ndipo nilipoanza kushika mamilioni, ilikuwa September 2016. Basi nikanunua kiwanja kimoja na pesa nyingine nikaiingiza kwenye biashara ya duka la vitu...
11 Reactions
71 Replies
11K Views
Kama heading inavyosema, kwa mara ya kwanza kabisa nilipost hapa kuhusu njia mbadala wa septic tank na soakpit ilikua mwaka 2016,17 niliuza idea yangu ya kutumia BIODIGESTER badala ya kuchimba...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikua ninawazo la biashara ya kuuza T na Subwoofers Je kwa kima cha chini cha mtaji itafaa niwe na shingapi? Location ni Iringa wilayani? Je risk zake zimekaaje? Connection ya kuzipata...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Waziri wa Fedha na Mipango Dr Mwigulu Nchemba Amesema Serikali itaingiza zaidi Tsh 5 Trilioni Kwenye Mzunguko wa Fedha Hatua hiyo itawafanya Wananchi Kutosikia Machungu ya Tozo Mpya za Uzalendo...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ili uwe na mafanikio kwenye eneo lolote unahitaji kitu KINAITWA experience (uzoefu) Watu wanafel biashara,wanafukuzwa au kutothaminiwa kazin kwasababu ya uzoefu..ukifuatilia na kuwachunguza...
9 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu kwema mwenye uzoefu wa hii gari ya Harrier used mwaka kuanzia 2005 Ni Bei gan kwenye kampuni ya Autocom Japan.
6 Reactions
43 Replies
15K Views
Habari wadau mwenye mawe ya kwenye nyongo za ng'ombe nanunua. Njoo PM tuongee biashara
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika vitu vinawatatiza wa mama wengi mtaani ni kupata shuguli itakayowaingizia kipato cha kutosha. Na kila wanapofikiria wazo la kuanzisha biashara basi wanakwazwa na ughali wa mtaji...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za Mchana wadau. Msaada wenu, nina milioni15 niko Dar es salaam nataka kuanzisha duka la kuuza vifaa vya umeme pamoja na plumbing naomba kujua vifaa gani vinatoka sana pamoja na changamoto...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Habar zenu wadau ....Mimi n mfanyabiashara mwenye vibali vya uvunaji na usafirishaji mazao ya misitu kutoka maliasili yan kuni . Ikiwa unahtaj kuanza biashara hii yenye faida kubwa (japo wengi...
1 Reactions
40 Replies
18K Views
Shirika la Posta Tanzania kwa kushirikiana na TanTrade wametoa Mafunzo ya Mifumo ya Biashara mtandaoni kwa Wafanya Biashara pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kibiashara Visiwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom