Haki ya mteja kufahamishwa kuhusu huduma au bidhaa inatambulika na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA). Baadhi ya watu wanaotumia mtandao kutangaza huduma au bidhaa wamekuwa wakishindwa kuipa...
Nataka nianze biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoa tofauti tofauti na kuwauza Dar es salaam.
Naomba mnipe mbinu mbali mbali za kufanya biashara hii, haswa upande wa masoko, na bei ya...
Niliagiza kifaa fulani huko Aliexpress 10/10/2020. Niliambiwa nitarajie kupata kifaa hicho kati ya Novemba 2-Desemba 2. Mpaka sasa naona kimya.
Uliwahi kuwa katika hali hii?
Ulifanyaje?
Nchi zote duniani sekta hii inahesimika katika mchango wao katika jamii. Hii picha ni mpangilio wa wamachinga wanavyopewa frame za biashara na Halmashauri za miji.
Hapa mmachinga anafanya...
Hili ni swali ambalo watu wengi sana huuliza Mara kwa Mara.
Kutoka na tabia ya soko la bitcoin ,grafu za bei ya bitcoin inatuonyesha kwamba ,bei ya bitcoin ina vipi vyake au majira yake...
Wakuu asalaam,
Leo nimeona nilete mawazo yangu hapa kwa ushauri na maoni na zaidi kupata connection kwa wazoefu.
Nimepanga mwaka 2021 nianze kwa biashara ya kukodisha vifaa vya harusi kuanzia...
Naona bitcoin 1=6,600$ kwa sasa na inazidi kupanda tu aisee hii ni pesa ya kununua.
Kuna nchi moja ulaya inajiandaa na kuachana na matumizi kabisa ya pesa za makaratasi na coin wanataka wahamie...
Habari za jioni,
Kichwa cha habari kinahusika kwa wale wanaoangalia ulimwengu wa mabadiliko ya maswala ya fedha wanakubaliana nami kuwa bitcoin imefanya maajabu katika mwaka huu wa 2017 na kuwa...
🏃♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA
✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara.
🔽 Hatua ya...
Biashara yoyote huweza kutumia mtandao kupata wateja. Wanaotangaza biashara mtandaoni wanapaswa kutambua Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) inaambua haki ya faragha ya mlaji
Faragha ni pamoja...
Habar wadau
Shida kubwa ilio ikumba serikal yetu ni viongoz kua wavivu na kupelekea kutafuta njia Rahisi za kukusanya kodi na kuacha kusimamia zile za awali kwa Nidham ya kazi mfano
Tannesko...
Natumai mu wazima wenye afya dhumuni langu ni kutaka kunisaidia juu ya kutengeneza kiwanda kidogo cha kuzalisha bidhaa za plastic kama vikombe,mabakuli,beseni,hotpot,majagi na nk lengo langu ni...
Habari za leo ndugu,natumaini u mzima.
Aisee kwa mimi kufanya biashara kipindi hiki naona ngumu sana tofauti na tulivyodhania kwamba pesa itaonekana mtaani, jambo lililopo ni pesa inaonekana ila...
✍🏿✍🏿 MAFANIKIO NI TABIA:
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿🦲👩🏿🦲 Yaweza...
Habari wakuu.
Naomba kufaham bank ambayo inakubali kupokea miamala kutoka Skrill.
Naomba kufahamu na rates au makato yao kwa muamala yapoje , pia na monthly charges.
Habarini watanzania,. Kata ya KIRANJERANJE inapatika wilayani KILWA mkoani LINDI kata hii ina vijiji sita ambayo ni KIRANJERANJE ambayo ndo makao makuu ya kata...
Wakuu kwema?
Niende kwenye mada husika, nataka niagize TV kutoka China, nataka zile kubwa kuanzia 65" kuendelea smart ambazo kwa hapa Bongo naona Kama ziko expensive hivi.
Vipi logistics zake...
Katika ulimwengu huu ambao ujasiliamali umehubiriwa sana kila mmoja anataka kuwa boss, kila mtu anawaza kuanzisha biashara yake, kuna biashara nyingi zinaanzishwa kila siku lakini kuna biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.