Kama kuna mahali serikali hii imekosea ni kuhusu hii tozo ya miamala ya simu, madhara yake yatakuwa makubwa sana kwa biashara za watu wa chini. Wafanyabiashara wadogo wengi hawatumii bank kufanya...
Katika harakati za kujijengea uwezo wa baadae(near future) niliamua kutumia pesa zangu kidogo za bodi ya mkopo (mimi ni mwanafunzi mwaka wa tatu) kufanya kilimo. Nilianza na project tatu tofauti...
Budget ya 20/21 imepita kwa kishindo bungeni 94%. Spika anasema haijawahi kutokea kwa budget kupitishwa na idadi kubwa hivi ya wabunge. Wiki mbili baada ya kusainiwa kama sheria na kuanza kutumika...
Wakuu habari zenu,
Kichwa cha habari kinavyosomeka,
Ninaomba yeyote mwenye kujua ni namna gani tender za ku-supply matunda kwenye kiwanda cha kusindika matunda cha bakhresa zinavyopatikana kuna...
Funzo la siku ya leo👇🏽
Nataka Nifanye Biashara Unanishauri Nifanye Biashara gani inayolipa🤷🏽♂️🤷🏽♂️ Swali hilo ndilo swali linaloongoza kwa kuulizwa na watu wengi kuliko swali lolote lile. Mara...
Nimeona watu kadhaa wakifanikiwa kwenye hili (nchi ya wengine)
Sio kwasababu Mimi nimeshindwa kujaribu Basi nisitoe nafasi kwa wengine. Hasa Tanzania. Sijui sheria ikoje lakini hii inaweza mpa...
Wakuu habarini za Leo.
Napenda kuwapongeza wadau wote waliomo humu ndani. Mimi binafsi natambua michango yenu ktk kusaidia na kuelekezana mambo mbali mbali yahusuyo computer.
Dunia ya leo...
Umewahi kujitoa ufahamu?Umewahi kuona mtu ambaye amejitoa ufahamu?Unaelewa ufahamu ni nini?Una ufahamu?
Nitaanzia Mwishoni.
Miaka zaidi ya 15 iliyopita nilianzisha kampuni yangu ya...
🇹🇿 4PILLARS OF BUSINESS( NGUZO 4 ZA BIASHARA)
🙏 Leo naomba tuamke na hii👆🏽👆🏽: Takwimu za benki kuu ya dunia zinaonyesha kuwa watu walio na mafanikio makubwa sana ni wafanya Biashara.
Ukitaja...
Nawaslimu kwa jina la jamhuri ya muungano.
Mitaani hali ya biashara ya miamala inaanza kuwa mbaya, kwa mfano mimi nina kibanda cha mpesa tigo na airtel, kawida huwa nikufungua asubuhi wateja...
ILI KUFIKIA MAENDELEO KITAIFA MASHARTI YA MIKOPO YAPUNGUZWE KATIKA TAASIS ZINAZO JIHUSISHA NA MIKOPO
Habari zenu ndugu na jamaa nikiwa kama kijana ninaye itakia mema nchi yangu napenda kutoa...
🙆♂️🙆♂️ FAIDA YA KUFELI KTK BIASHARA.
👩🦽 Nimekuwa nikiulizwa maswali mengi na watu mbalimbali juu ya suala la kufeli.
👆🏽MMI KILA NIKIANZISHA BIASHARA NAFELI JE NIFANYE JE NISIFELI?
👇👇...
Watuu habari zenu.. katika pita pita zangu za kibiashara nikakutana na huu mchongo nikaona si vibaya niwashirikishe na nyie ili wote tusonge mbele.. kuna website moja hivi ya kibongo bongo inaitwa...
🌓 WAZO LA BIASHARA
Ukifatilia makala yangu iliyo zungumzia hatua za kuanza Biashara, hatu ya kwanza n kuwa na wazo la Biashara.
👆🏽👆🏽 Makala hiyo imezungumzia njia za kupata wazo zuri la...
JAMBO 1 KTK PESA
✍🏿 Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa.
💧 Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama...
✍ KWA NINI HUJAFANIKIWA‼️
💧 Kwanza tambua jambo 1 mungu hawezi kukutoa hapo ulipo mpka akupe elimu ya kule unapo taka kwenda ( kila elimu inalipiwa )
Mfano: Kama wahitaji kufanikiwa...
MBINU ZA KUJIAJILI KWA WANACHUO NA KUAJILI WENGINE
Njia Bora na rahisi kwa VIJANA waliokosa ajira na wamemaliza vyuo vikuu au vyuo vya Kati KUJIAJILI
Nchini Tanzania ajira imekua...
Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe...
Siku chache zilizopita limekuwa na sintofahamu juu ya mabadiliko ya viwango vya miamala katika mitandao yote nchini, kupanda kwa miamala ya kutuma hela na kutoa hela Jambo ambalo linaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.