Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Je kuna vifaa tiba unatafuta bila mafanikio Nambie nikusaidie
0 Reactions
2 Replies
589 Views
hivi kwanini kila serekali inapo zungumzia kuhusu COVID-19 aidha idadi ya wagonjwa, au kuhusu chanjo au kuchukua tahadhari, basi watu wanakuja na hoja za "wanaipigia debe COVID-19 ili wapate...
0 Reactions
1 Replies
457 Views
  • Closed
Hello business personels Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku.. Haijalishi mtaji...
17 Reactions
463 Replies
103K Views
Wakuu. Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania . Ni heshima Kubwa nchi yetu...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
GAS UTILIZATION OPTIONS AND DEMAND FORECAST IN TANZANIA. Natural Gas (Pure Methane, CH4) can be used for; - Domestic Natural Gas Utilization Options. Industrial Application as an Alternative...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
“Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Teknologia imeongezeka kwa sasa hivi watu wanatumia pikipiki za umeme na magari ya umeme, kwa sheria za tanzania hivyo sio vyombo vya moto hivyo havina bima wala hahutaji leseni kuviendesha ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kwa wale tunaofanya kazi mtandaoni, what's the best way kutransfer hela from Wise kuja Mpesa/Tigopesa? Kuna rafiki yangu kaniambia Mpesa ni dakika 30, sasa bank transfer...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mhitimu wa chuo kikuu ni mtu mwenye elimu ya juu kulinganisha na sehemu kubwa ya jamii. Hawa watu wanakitu cha kipekee japo wengi wao wamefumba. Sasa haya ndio mambo makuu,ya kukusaidia ujitambue...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vodacom Tanzania imetoa tathmini ya mapato ya na kushuhudia ongezeko la wastani wa asilimia 6 kabla ya makato ya kodi. My Take: Biashara zinaendelea kuimarika zikiambatana na ubunifu. Wale...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
kutokana na tozo za kodi ya miamala, kampuni ya ttcl tozo yao, ni tafauti na makampuni menginine ya simu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimae bei za vitu zaendelea kutupa wakati mgumu. Biashara haziendi,kodi zimepanda, faida hazionekani, anayejua nn cha kufanya ili faida ipatikane kwa sisi wenye mitaji kidogo. Naombeni ushauri
0 Reactions
10 Replies
976 Views
Zifahamu Biashara Zinazolipa Zaidi Mtandaoni. Biashara hizi pia zinakuja na changamoto zake hivyo ni vizuri kuchagua unayoiweza Linapokuja swala la biashara mtandaoni ni wazi kuwa kila mtu ana...
6 Reactions
17 Replies
4K Views
Tuijue gharama ya Ujenzi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kuja Dar es salaam. Tukimaliza hapo, tuanze kuelewa kwanini Gesi tunaipeleka Kenya. Gharama za mradi ni Dola za Marekani 1,225,327,000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I have two questions about tax audit 1. Stage of conduct tax audit 2. Stage of conduct desk tax audit Welcome for any one to reply the possible solutions to those two questions
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kodi(rent) (ushuru) malipo ya pesa, malipo yanayo kusanywa na serikali kwa mujibu wa sheria(KATIBA). Kushindwa kulipa, kodi(rent), ni kosa la jinai serikali itakushtaki uadhibiwe kwa kufuata...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Miaka michache nyuma kabla ya ajira kuwa kitendawili (kuwa adimu)kuna kazi hazikupendwa kabisa japo zilikuwa na pesa nzuri sana. 1.MAMA NTILIE/BABA NTILIE. Kwanza ilionekana kazi wanayofanya watu...
10 Reactions
20 Replies
5K Views
Naomba msaada: kwa biashara duka la rejareja na jumla la bidhaa muhimu inahitajika kuwa na machine ya EFD
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Uchumi ni nini? Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Kama ilivyo je wewe Ni mjasiriamali au unataka kufanya biashara iwe kubwa au ndogo. Basi fanya haya najua Unaweza nishukuru. Wajasiriamali au wafanyabiashara wengi hushindwa Katika Uchaguzi wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom