Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu kwema natumaini mko salama Lengo la uzi wangu huu ni kutaka kuuliza na kufahamishwa nawezaje kuingiza pesa mtandaoni kupitia simu au laptop. Nimekuwa nikisikia sana wadau wengi...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya kupambana saana na Maisha ya ajira, nikafikiria nitafute namna ya kuingiza kipato kingine. Akili ikanutuma shambani kweli nimeingia shambani na Hali siyo mbaya. Wazo likaja tena niachane...
16 Reactions
71 Replies
5K Views
Tupeane uzoefu ilikuchukua siku ngapi kuzipata kwenye account?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarinj wanajamvi, Nimekaa nakuwaza nifanye biashara gani, baada ya kupata baadhi ya aina ya biashara ambazo naweza zifanya nikiwa hapa moja ni ya Kununua na Kuuza Plastiki ama Makopo...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanabodi , Kwa muda mrefu tumekuuwa tukisikia serikali imepata mikopo toka kwa wafadhili mbali mbali , kitu ninachojiuliza deni letu haswa ni kiasi gani kwa sasa ? na jee hili deni lina impact...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Habarii JF. Mimi ni mwanachuo,lakini kutokana na hali ya maisha ya sasa nimeona nijitafutia kitu kidogo ambacho kitanipa msingi mara nikihitimu masomo yangu Kwahiyo nimepata wazo la kumiliki...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapendwa habari ya mchana naomba kujua kuhusu jiji la Dodoma kibiashara na kimaisha. Je mtu kama unataka kuanza maisha kuna unafuu?
11 Reactions
160 Replies
66K Views
1. Mwenye mtaji aje eneo ekari 1.3 ninalo lina jengo la storage, kisima cha maji, umeme three phase na majengo mengine mawili. Nimefunga pia mashine ya kusaga na kukoboa mahindi na nafaka kama...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao...
4 Reactions
75 Replies
15K Views
Nauliza ukitaka kumkabidhi mtu gari hesabu inakuaje kwa gari sio mpya lakini haina shida yeyote na kuhusu service ni kwa dereva au boss kwa hesabu Tsh 25000
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani Habari Zenu. Nilikuwa nataka kupanua wigo wa Biashaya ya Viungo(Spices). Nina duka dogo Zanzibar ila nataka niongeze wigo wa biashara. Kwanza ninamalizia website yetu,ambayo itakuwa...
9 Reactions
35 Replies
35K Views
TAA ZA KUCHAJI KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA ZA USIKU. Hizi ni taa zinazo faa kwa matumizi aina zote yanayo hitaji mwanga mkali kwa muda mrefu.Vijijini na Mijini. SIFA ZA KIMATUMIZI YA TAA HIZI...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Naomba msaada wajameni maana huwa siwezi kuvitofautisha kabisa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bei za mafuta zinahusika moja kwa moja na mfumuko wa bei(Headline inflation) hii ni kwa kuambiwa lakini nimefanya pia analysis ya haraka haraka na kuona uhusiano mkubwa kati ya hivyo vitu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF, Samahani katika harakati za kujikwamua kimaisha nimepanga nifungue biashara ya duka la bidhaa za nyumbani kama vile viduka vyetu vya mtaani vya mangi. Kwa ambaye amewahi kufanya...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Imekuwa kila mara nikifungua Twitter nakutana na post nyingi watu wanaongele passive income, online course, affiliate marketing, digital marketing. Wanatumia nguvu kubwa sana kuitanganza mpaka...
1 Reactions
5 Replies
937 Views
Habari wadau. Tujuzane mkoa ulipo bei ya Kitunguu maji ni sh.ngapi kwa sasa?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Naomba kujua ukiwia unamtaji wako wa kiwango chochote cha pesa, unatakiwa upate kiasi gani cha faida kwa mwezi kwa mahesabu ya asilimia? Wengine...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom