Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea...
Habari zenu wanajamvi.
Nilipenda kuulizia mwenye ujuzi na biashara ya Jatropha. Mimi nina namna ya kupata jatropha kwa wingi sana kwa hiyo anayejua soko la Jatropha anijulishe.
ASANTENI
Wana jf naomba ambaye ana uzoefu namna ya kuwa agent wa online shopping platform [emoji1622],
Nimeona watu wengi wanaagiza bidhaa mitandaoni lakini hawana ofisi za kupokelea bidhaa zao...
1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo.
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha...
Habari wana JF, naomba kuwatangazia fursa ya kuchangia frem ya biashara (sub renting). Frem iko Temeke karibu na hospital ya rufaa ya temeke.
Nahitaji mtu ambae yuko serious aje tuchangie hii...
Salamu wakuu,
Nina tokens (ERC20 token) kwenye wallet ya Metamask na zinaonyesha thamani ya wastani wa $8 kwa token lakini kwenye etherscan inaonyesha $0.
Kuna namna ya kutengeneza Dapp ambayo...
Habari wakuu.
Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe...
Hello wakuu...
Nina ramani ya nyumba upana mita 7.5 na urefu mita 16.5... sawa na square meter 123.75
Haina mikunjo mingi sana ila ina sebule ya 4.5 by 5m dining, corridor, jiko, stoo...
Habari!
Kwa wanaoishi maeneo ya Makuru hapa Dodoma, naomba kujua Kama ni kunafaa kwa biashara ya pombe kali kama konyagi, k vant, blak Gn na kuendelea za kupima lakin, je hilo eneo linafaa kwa...
Wakuu nina idea ya kitengeneza vibanda vya wamachinga na kuvipangisha. Vibanda hivyo nitaviweka pembezoni mwa barabara zote kubwa zilizopo mjini..kuanzia Shekilango, Sinza, Goba, Mbezi n.k
Naomba...
Habari za leo.
Ukiwa ni tarehe 30/06 asubuhi toka saa kumi na mbili asubuhi system ya kupokea taarifa iko chini na inachukua muda mrefu sana kuload.
Tunaomba mfanye jambo ili matakwa ya...
Mimi sasa naingia kidato cha sita but ninandoto za kuanzisha BIASHARA sasa nauliza nianzishe BIASHARA gani yenye mtaji mdogo nikimaliza shule kulingana na maeneo ninayotoka ninatokea Rorya Mara.
Nimeamini kuna watu wana kismati tuu. Wakati naanzisha hii biashara nilikaa mwenyewe kwa mda flani ambao nilikua free,
Nikaona mauzo yanaenda poa tuu,
Baada ya majukumu ya kikazi kuanza...
Naomba kufahamishwa wapi/mkoa upi nitapata kuku wa kienyeji kwa jumla na kwa bei nzuri? Pamoja na aina ya usafiri toka huko masokoni /minadani kuleta mjini.
Asanteni
Nani ana uelewa mzuri kuhusu Fixed Bank Accounts, faida zake na benki gani inatoa interest nzuri.
Je ni nyakati gani unaweza kufaidika zaidi.
Funguka kwa faida ya wengi 👇🏽
#Ibua...
POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA.
Na mwandishi wetu- Dodoma
Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa...
Ndugu wanajamvi,
Nimehamasika sana na ushauri uliotolewa hivi karibuni na mh. Waziri mkuu Majaliwa kwamba sasa ni zamu ya watanzania kutajirika kupitia zao la alizeti.
Naamini huu ushauri...
Wakuu Habari ya Machweo, haya mambo wala siyo ya kusimuliwa. Wachina wameuwa uchumi wa Zambia baada ya kukausha Zimbawe.
Hao jamaa Wamejenga Economic Zone Ukanda wa Copperbelt waliahidi kuweka...
Mama yangu mkubwa amestaafu na kupewa milioni mia moja. Amechukua milioni 20 na kugawia watoto pamoja na kurekebisha nyumba yake kwa maana tayari alikuwa amekwisha jenga. Sasa amebaki na milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.