Habari za wakati huu wanafamilia wa JF,
Naomba muongozo mwenye kufahamu juu ya vibali na taratibu za kufuata pindi mtu anapotaka kufanya biashara ya kusafirisha mkaa kutoka mkoa mmoja kwenda...
Wakuu habarini za leo?
Nikiwa kama muumini ninae amini maisha ni popote, Leo nimeleta Uzi huu nikiwa na lengo la kupata mwongozo kwa walio nitangulia kutoka nje ya Tanzania au walio na uzoefu wa...
ALI EXPRESS WANAKULETEA MZIGO WAKO HADI ULIPO KAMA DHL ?
Wakuu naomba msaada wenu kulielewa hili,
Ni mara yangu ya kwanza kununua na kutuma/kuletewa mzigo nilionunua na...
Wakuu Habari za majukumu, naomba kujua kuhusu hii biashara ya kuprint Tshirt hasa ile local ambayo wanatumia ki unao flani hivi.
Nachotaka kujua, namna unavyoweza kujifunza kukitumia hicho kifaa...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wakubwa nisiwachoshe na maelezo mengi naomba kujibiwa swali hilo hapo juu , naomba ukieleza na faida za mfuko husika itakuwa vizur zaid
Habari Wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavojieleza wakubwa naomba kuuliza tumezoea watu wakiagiza magari na vitu tofauti kutoka nje ila Kwa upande wa bajaj umekuwa tofauti Sana.
Chanel za...
Wakuu salaamu.
Ningependa kujua ni gharama kiasi gani hutumika kukomboa mzigo bandarini.
Kwa mfano.
Mzigo wa nguo 200pcs
Ulioununua kwa 500000
Je, ni shiling ngapi inatumika jumla hadi kuupata...
Wakuu wenye karatasi zile za A4. Nahitaji ambazo zimetumika. Inaweza kuwa past paper, au group assignment paper. Nahitaji nyingi hata kama una kilo 100 ni Pm.
Dear HR kama unabarua nyingi ofisini...
Tunaona basi jipya la timu ya Simba SC yenye bima aina ya Comprehensive iliyokatwa kwa thamani ya TZS. 4,643.87, Bima hiyo ilimekatwa kwa MO ASSURANCE COMPANY LTD.
Mamlaka husika ebu fuatilieni...
Nina mtaji WA laki 7. Nahitaji mtu mwema anaejua kwa mtaji huo naweza kufanya nn japo nipate elfu tano kwa siku au Kama kuna biashara anafanya tuunganishe nguvu pamoja
Wale wa Mambo ya forever...
Habari wanajamvi naomba msaada kwa wabobezi na wanaofanya biashara hii ya kuchukua nguo za mitumba kwa kupoint suruali na blouses za kike pale sokoni memorial moshi,binafsi ni mgeni Kanda hii ya...
Habarini wanajukwaa,
Nimekaa nikajiuliza hivi kuna travel agents hapa Dar au Tanzania ambao unaweza kuwatumia endapo unataka kwenda nchi za Europe kwa ajili ya utalii. Maana naona sehemu kubwa ni...
Heshima zenu wakuu.
Naomba kujua utaratibu wa kufuata ili kuisajili gari kama Uber/Bolt.
Na pia gari nzuri kwaajili ya kufanyia hii biashara kati ya Passo, Ist, au Vits.
Natanguliza shukrani.
Habari za muda huu, na poleni na harakati za kimaisha.
Nikiwa na imani na members wa jukwaa hili, nina imani kubwa nitapata mchango wa mawazo ya biashara kulingana na maeneo niliyopo na...
Habari
Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa?
Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za...
Wadau naomba kujua kama kuna taratibu zozote za kufanya ili kuweza kufanya biashara ya mazao lwa kuuza nje ya nchi hususani hotcultural
=======
Mchango wa mdau
Mimi sifanyi biashara ila Nina...
Habarini wakuu.
Najua watakaopitia huu Uzi ni Watu wa Rika mbali mbali kuna waliofanikiwa, kuna wanahangaika mtaani na kuna wale ambao wapo masomoni bado na kuna wale ambao hawaelewi wafanye nini...
Wadau tupeane uzoefu!
Kufungua biashara yako kwa mara ya kwanza nafikiri ni jambo exciting.
Hebu tuashirikishane, ulifanya nini siku kadhaa kuelekea siku ya ufunguzi wa biashara na hatimaye siku...
Kama kawaida lengo langu sio kujenga hoja bali kuibua mjadala kuhusu swala la BOT kuonekaka kupiga vita uwepo wa Bureau De Changes Nyingi nchini
Kwanza tuanze kwa kujiuliza Bureau de Change ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.