Wakuu, naomba kusaidiwa vitu vifuatavyo kuhusu hii biashara ya pikipiki.
1.Aina ya pikipiki uliyokuwa unatumia au aina ya pikipiki unayopendekeza kwenye hii biashara
2.Wastani wa pesa uliyokuwa...
Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo...
Katika hali ya kushangaza NMB mmeamua kufunga kimya kimya matawi kadhaa mliyofungua kwa mbwembwe huko nyuma. Hata mawakala mliowapa ujiko wa kufungua matawi kwa niaba yenu mmewaacha solemba baada...
Wakuu salamu,
Nimepata tatizo na nahitaji mkopo wa haraka kiasi Tsh 2,000,000/-. Dhamana yangu ni Bajaj iko vizuri na hadi sasa inaendelea na kazi mwezi march 2021 ilitimiza mwaka mmoja tangu...
Wakuu habari!
Naomba wenye ujuzi wa biashara za samaki, kama wenye mabucha mniambie gharama zake zikoje.
Nina plan ya kuanzisha biashara hii Mungu akijaalia ninahitaji info za kutosha ili nikiji...
Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa...
Habari wana JF leo tutashirikishana faidha za website ili kukuza na kutangaza biashara yako.
Watu wengi wamekuwa wakipata shida ni nanmna gani biqshara zao zinaweza kujulikana na kuwafikia watu...
Habari za mchana wakuu,
Baada ya habari na hasa tambo serikali iliyopita kuhusu nchi kuingia uchumi wa kati,ikibidi nijiridhishe kwenye vyanzo mbali mbali.
Ndio nikaja kugundua uchumi wa kati...
Jamani naomba kuuliza kinapopatikana kiwanda cha kutengeneza yebo yebo kwa Kisemvule. Nataka nianze kufanya biashara hiyo nikanunue nipeleke sehemu nikauze.
Kwa mnaofahamu hata bei za jumla hapo...
Naomba kupata ABCs za biashara ya bucha. Kuanzia vifaa vinavyohitajika gharama zake, vibali na upatikanaji wake.
Ikipendeza zaidi, basi na bei ya nyama machinjioni na makadirio ya faida kwa kilo...
Naombeni msaada wa platform ambayo unaweza kuwela hela zako na kujizalisha kwa kuwa tafuta watu yaani kila mtu atakaye join kupitia wewe uwe unapewa kiasi chako.
Kwa Kenya zipo nyingi ila kwa...
Dear Taxpayer,
Please note that the TRA system has a feature that allows the taxpayer to request an extension of time to submit a tax return in case they anticipate delays in finalization of an...
Biashara ya upatu ni biashara inayo kuwezesha kuinvest katika digital platform na kujipatia kipato zaidi kulingana na juhudi zako huku mtaji mkubwa ukiwa ni bando lako na charji kupitia smartphone...
Hi Team am looking for a serious Business Partner who is ready partner in business that am thinking to start with immediate effect.
The partner must be able and have patience in doing business...
Nawasalimu waungwana.
Nimetenga kiasi cha pesa 10m niweze jiajiri kwa kuuza vitu vya ndani kama ma carpet, ma duvet, mito, mapazia like kama unavyoyaona maduka ya home shopping center.
Nachoomba...
Za jioni wakuu.
Nahitaji kufungua akaunti ya dollar Equity Bank ila sijui gharama zao, nilikuwa nahitaji muongozo kidogo kuhusu vitu vifuatavyo.
Gharama za kufungua akaunti. Makato ya mwezi. Ni...
Habari wana ndugu kwa sasa nawashauri kama una fedha na muda wekeza kwenye kilimo cha Kahawa Mbinga Moshi au Morogoro kilo 9000 mpaka sasa ninavozungumza.
Cha pili mahindi gunia sasa ni 100,00...
Kuna Kituo cha Mafuta inajengwa karibu na Shule ya MOSHI fountain, iliyopo MOSHI BAR - MOMBASA -UKONGA Wilaya ya Ilala. Sheli ipo mbele nyuma kuna shule hii imekaaje kwa afya za hao watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.