Habarini wakuu,
naombeni mnisaidie biashara gani naweza ifanya karibu na eneo la hospital ya rufaa, maana nina kakiwanja eneo hilo ila sijui nifanye biashara gan itakayo endana shunguli za hospital.
Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu?
Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara...
Kama unamiliki biashara hakikisha customer care never die. Tuache tabia kwamba ukishapata Loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu. And Always remember to add value to your product and...
Hello JF Members,
Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha...
Trust is an essential component of success in all types of negotiation, whether business, diplomatic or legal. Ambassador Denis Ron, Former us coordinator of the Middle East, Has stated that the...
Licha ya changamoto za corona zilizojitokeza, Benki ya CRDB imetangaza faida kabla ya kodi kiasi cha Sh236 bilioni mwaka 2020.
Faida hiyo, ni sawa na ongezeko la asilimia 35 ikilinganisha na...
Habari ya asubuhi wakuu.
Mimi nataka ninunue Hisa Kati ya kampuni mbili zifuatazo, CRDB au TBL, je kwa jicho la uchumi na mwenendo wao kibiashara unadhani ipi hapo inaweza kuishi miaka 25 mbele...
Habari.
Nataka kufanya biashara ya toyo yaani niwaajiri vijana kwa ajili ya kubeba abiria na Mizigo.
Sasa bei ya toyo mpya zikoje?
Bei ya Guta la kubeba Mizigo Zikoje?
Kwa wastani inatakiwa...
Kwema wana jamvini.
Nimelima miwa ya sukari kampuni niliyokuwa naitegemea wameyumba kibiashara. Naombeni msaada kwa mwenye connection na kampuni au viwanda vinavyozalisha sukari hapa Tanzania...
Wakuu msaada tafadhali miaka ya nyuma nimewahi kusikia hii biashara ya kukodi costa au Eacher izi daladala za town kisha unampa mwenye gari chake km ni cha weak au 2weak af wew unaingia mzigoni...
1. Kumpoteza mteja
Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu...
Habari za muda huu, kuna jamaa yangu ni masonry yaani fundi uashi. Amejikusanya kwa muda mrefu amefanikiwa kukusanya kiasi cha pesa shilingi 5m, amepanga kufungua biashara ya duka la rejareja ili...
Mkurugenzi wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya Total Tanzania,Marsha Kilewo, akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa kutangaza kuzinduliwa kwa shindano la 'Startupper of the year by...
Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wanaonunua vitu online hasa Alibaba kwa bahati nzuri hadi leo hii sijawahi kukutana na kuibiwa.
Hili nalileta kwenu kwa muda huu nimeona kwenye magroup ya Whatsapp...
Wakuu habari zenu,
Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo.
Naomba kujua namna ya kufika comoro kwa njia ya maji. Na je kuna vyombo vya moja kwa moja toka Dar au Zanzibar mpaka huko?
Kuna...
Habari wadau.
Naona watu wengi wanalia lia kuhusu forex
Nawakumbusha tu
Uzi niliuweka hapo chini nilikuwa nawaambia watu waikimbie forex ya ontario maana ni utapeli.. niliandika mwanzoni kabisa...
Quality plaza nyerere road
Jengo lipo wazi tupuuu Kuna benk moja tu pale. Popo wananyea mle.
Kwa wale wa biashara za supermarkets, hospital, migahawa ya kisasa movie theater maduka etc
Wadau habarini za mchana.
Nilinunua bidhaa kule Aliexpress tangu December mwaka jana, mpaka leo sijapokea ujumbe toka posta juu bidhaa yangu kufika Bongo, ila yule muuzaji anadai percel...
Habari wanajamvi, ninaomba kwa mtu yeyote mwenye utaalamu au uzoefu katika biashara ya kununua na kuuza chuma chakavu kwa Dar es salaam na Pwani. Vitu vya msingi zaidi ninavyotarajia kupata kwenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.