Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
3 Reactions
30 Replies
9K Views
Kuna baadhi ya watu wanafanya biashara lakini biashara wanazozifanya si biashara za ndoto zao pengine labda msingi hautoshi au mazingira hayaruhusu kufanya biashara ambayo yeye anaifikiria...
2 Reactions
71 Replies
11K Views
Mkurugenzi wa kampuni ya TikTok, Zhang Yiming (miaka 38) amejiuzulu wadhifa wake huo. Zhang mwenye utajiri wa TZS Trilioni 101. Zhang amesema amechukua uamuzi huo ili apate muda mwingi zaidi...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Moja kwa moja, naombeni mnisaidie ninataka kuhama hapa nilipo kwenda Bariadi na nataka nikifika kule nifanye biashara ya juice, bisi na matunda kwa delivery. Je, aina hii ya biashara...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilikuwa najua kusoma ni ujinga tangu nilipokuwa shuleni na chuoni but sasa hivi natamani hata nisingesoma kabisa, zaidi ya marafiki wachache nilowapata hakuna cha zaida nichopata, ningekuwa na...
1 Reactions
10 Replies
923 Views
Habari wanao! Nina biashara ya mashine ya kukoboa mahindi na kusaga. Nimeanza mwezi wa tatu mwaka huu, tatizo bado sijafahamu namna bora ya kuziweka hesabu kwenye daftari. Na lengo hasa ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari vipi? Nataka nianzishe biashara ya kuuza mihogo kutoka kijijini hadi sokoni. Mwenye uzoefu wa biashara hii tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara Asali nyuki wakubwa kwa wadogo awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanabodi. Ni bidhaa aina gani unazoweza kuziuza mara 1000 kwa siku? Gharama ya hizo bidhaa isizidi 2,000 kushuka chini. Karibuni kwa michango yenu.
6 Reactions
66 Replies
10K Views
Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Nilikuwa na nampango wakununua simu e bay aina ya google pixel lakiji sina card ya banki hivi kwa hapa Dar hakuna ofisi zozote zile mabazo ni trusted zinajihusisha na uagizaji wa mizigo e bay...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
If you wish to buy a Bitcoin, for instance, then your account will grow in value as Bitcoin’s price increases. If Bitcoin price decreases, then your account loses value accordingly. Apart from a...
0 Reactions
3 Replies
863 Views
Kwema wapambanaji? Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini. Nitafurahi kama nitapata msaada .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mjinga Mjinga akimaliza la saba anaanza biashara ya kuchoma mahindi halafu atauza miwa, atalima viazi huku akikatisha mkaa. Baada ya miaka miwili mitatu ivi atafungua duka la nguo atasafiri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume (25) nipo Dodoma nahitaji kufanya biashara, nina mtaji wa shilingi laki Tano tu 500,000. Je, nifanye biashara gani itakayonipatia faida na kukuza kipato changu? Nina ujuzi...
0 Reactions
5 Replies
38K Views
Wakuu... Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja...
4 Reactions
18 Replies
6K Views
Profits Are Better Than Wages. My mentor, when I was 25 years old, dropped a phrase on me that changed my life forever when he said, “Profits are better than wages. Wages will make you a living...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Amani iwe kwenu wadau wa JF. Leo ndio siku niliyopanga kuanza kuiunga mkono Air Tanzania katika safari zangu zote za anga nitakazofanya katika maisha yangu yaliyobaki. Leo naelejea Geita, pamoja...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Wasalam Nimekua nakumbana na neno hili kwenye manunuzi yangu huko kwenye nchi za Wenzetu (FOB) freight on board or free on board. Please nimejaribu ku Google Sijapata uelewa mzuri naomba mwenye...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwasababu leo nimeona magari ya Bonite yanasambaza juisi za minute maid, zilizotengenezwa kiwanda cha Cocacola kwanza kilichopo Dar, INA maana Cocacola Kwanza wanashindwa hata kununua magari...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Back
Top Bottom