Habari za wakati huu.
Kwa yoyote anaeweza kunipa elimu kidogo ya Soko la Hisa Dar es Salaam jinsi yakununua hisa na namna unavyo pata faida au hasara.
======
Unashauriwa kusoma>>>
UCHUMI: Hisa...
Wadau wa JF,
Naomba kujua changamoto za kuanzisha biashara ya kuuza na kununua asali hususan masoko ya ndani na nje ya nchi-vile vile namna ya kupata mikopo ya muzinga ya asali.
Sent using Jamii...
Hivi mtu aliye soma marketing course kwa kazi yoyote ile anaweza kujiajilije yeye kama yeye kwa kile alichojifunza chuoni au ability yake ya kufanya mambo according kwa knowledge yake.
Hallo my friend
I want to ask. Hivi biashara ya bar inalipa Dar es salaam?
Nataka kuweka bar Dar es salaam. But I’m not living there. Nataka tu kuwekeza.
Sasa sijui kama inalipa vile.
Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa.
Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha...
Wakuu,
Vijana wengi wanaoanza business hapa Tz naweza sema hawana idea biashara ni nini hasa.
Nikisema hivyo baadhi wanashangaa.
Wengine wanakasirika.
Kwasababu wanaona kama vile “bright...
Habari wanajamvi nimefanya utafiti juu ya baadhi ya uzi humu JF ambazo zina husiana na biashara kutoka Uganda nyingi ni za mda.
Naomba kama kuna mtu yoyote anaefanya biashara ya kununua vitu...
Habari.
Naombeni ushauri nifanye nini niko nje ya nchi nafanya kazi kiukweli nashindwa kutegemea mshahara kwa sababu unakua na kiwango cha ukomo naona kama unanilimit kufanya mamb yangu na...
Wakuu Salaam,
Baada ya saving za muda mrefu nimefanikiwa kununua kagari kadogo ambako nataka nikasajili kwenye biashara ya Uber. Nimeshasikia kuwa kuna utaratibu wa hesabu ya siku au Mkataba...
Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani...
Wana JF naomba kuulizia ni kampuni au ofisi ipi yenye uwezo wa kufanya Marketing na promotion ya bidhaa kama ya mafuta ya kula wawe wamesajiliwa na wana uwezo wa kutoa document za risiti, proforma...
Ujana ni maji ya moto na uzee ni maji ya baridi na ikumbukwe uzee ni usiku.
Wakati natafakari maisha yangu huku nikiwaza kesho yangu imenilazimu niwaze mbali kwaani kuwaza karibu ni sawa na...
Habari wapendwa,
Poleni na majukumu, bado nipo kwenye harakati za upambanaji hivyo nahitaji msaada wenu.
Nataka kuanza biashara ya Tigopesa, Je what are the procedures ya kupata line ya wakala...
Habari zenu wakuu, samahani nilikuwa naomba kufahamu kwa yeyote mwenye uzoefu na kuagiza mizigo kupitia kampuni ya Aramex, nahitaji kujua gharama zao mzigo unapotua Dar es Salaam au na wao...
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.
Naishi Rufiji Bungu, ni eneo linalo jishughulisha sana na shughuli za kilimo hasa mihogo, ufuta na korosho. Kipindi hiki nikipindi ambacho ufuta unavunwa kwa...
Utafutaji wa Fedha (Fundraising) ni kitendo cha Taasisi kutumia vyanzo/njia mbalimbali kwa ajili ya kukusanya fedha ambayo hutumika katika utekelezaji wa shughuli za Taasisi hususani utekelezaji...
Salama wakuu.
Kwa wale tuliobahatika kusoma uchumi kwa kiasi chake,hebu tuzungumze kuhusu hili suala la mfumuko wa bei "inflation" .Nimekuwa nikiona mara kadhaa serikali ikitoa takwimu na namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.