Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Mke wangu ni mhitimu wa diploma ya maabara. Nataka kumfungulia duka la Kuuza Chemical reagents za hospital na viwandani. Naomba ushauri wenu taratibu za awali kabla sijafungua
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habarini za leo!? Lengo kuu la Uzi huu ni kutaka mawazo mbadala ama ushauli kutoka kwenu. Mimi mkazi wa Geita mjini mwenye miaka 24, sjaoa na Wala Sina mtoto. Naweza kusema kwasasa mm ni...
12 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari wakuu. NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nimepata soko la supermarkets, kwa kuanzia bidhaa ziwe na TBS kama kigezo cha kwanza. Bidhaa ziwe Sabuni,Lotion, shampoo,mafuta ya nywele na steaming. Zizalishwe Tanzania. Piga...
2 Reactions
1 Replies
854 Views
Nina wazo la kuanzisha Daycare and Nursery School Jijini Dodoma. Naitaji mshirika ambaye tutalifanya hili wazo liwe reality. Upo Interested ? Dm me.
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeandika andiko hili nikiwa natafakar ni upi uelekeo wa maisha yetu; Najua andiko hili linaweza kuwafanya Jubilee insurance kuuza BIMA ya maisha kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko hapo awali na...
2 Reactions
6 Replies
974 Views
Habari zenu, kwa wale wafanyabiashara wa maharage, mnatumia nini kupima maharage mnapouza kwa wazaji wa rejareja?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona tangazo linaloeleza wanahisa kupata gawio. Sikulipata vema tangazo hilo na sikuweza kuandika mawasiliano yao. Naomba nisaidiwe kupata mawasiliano yao ili nidai gawio langu.
1 Reactions
1 Replies
710 Views
Wakuu natumai mko poa kabisa, kwa wale wadhaifu Mungu atawaponya. Kama kichwa kinavyo jieleza naomba kujuzwa kama member amesha wahi fanya manunuzi yeyote kwa njia hii. Utaratibu wake ukoje, maana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habarini za leo, nahitaji kufaham kiji-senta kilicho changamka au mji mdogo ambao unawajasilia Mali wadogo wadogo wanao uza chakula, chips, wamama wanye magenge ya vyakula. Ki miji hicho...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Mimi ni mfanyabiashara wa jeans za mtumba za kiume, sina muda sana kwenye hii biashara ni kama miezi kadhaa. Sehemu zangu ni katika minada na magulio katika kuzunguka kwangu...
24 Reactions
31 Replies
5K Views
Tusaidiane jinsi ya kupata passport na steps zote zinazotakiwa. Nitashukuru kama wenye uelewa na haya mambo wanisaidie.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta chimbo zuri la kupata mzigo mzuri wa nguo za mtumba grade one kwa Mwanza ni wapi naweza pata, nataka nifanye biashara ya nguo na mtaji wangu ni kidogo siwezi kununua belo lakini pia...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
1. I have a business idea ambayo nimeifanyia kazi na tafiti za kutosha kuanzia mwaka jana mpaka mwaka huu, morogoro kisaki wanalima sana mpunga,kipindi cha mavuno gunia la mpunga wanauza 35,000/=...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Leo nimeweka laki moja kwene acc maalumu kwa ajili ya kununua gari Gari ninayoitaka ni Rav4 new model black Bei zake nimechek cheki kwenye mitandao ni milion 23-24 Sijui itabichukua muda gani...
8 Reactions
65 Replies
7K Views
Naomba mwenye ujuzi wa taratibu za kufuata ili niuze hisa zangu naomba mwongozo!Mwaka 2013 nilinunua hisa za benki ya Mwalimu.Hadi leo hakuna kinachoendelea nimeishiwa kupewa tu risiti.Kila...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Miaka mitatu nyuma nimewahi fanya kazi na wazungu fulani toka Uingereza ya kununua karanga, tulipomaliza waliondoka, last week walinichek wanataka haya maharage. Wao hawataki kuja huku, wanataka...
7 Reactions
110 Replies
10K Views
Watu wengi wanatamani kufanya biashara wengine wana mitaji kabisa sababu unakuta yeye ni mtumishi hela sio swala la kuuliza ila when it comes to starting a business anajikuta anasita sita au...
16 Reactions
55 Replies
7K Views
Ubalozi wa China nchini Tanzania umetangaza makampuni 49 ya Tanzania yaliyoruhusiwa kuuza maharage soya nchini China. Hatua hiyo ya Mamlaka ya forodha kuruhusu maharage soya ni fursa kwa wakulima...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Nataka kuanza biashara ya kutoka mikate, etc. Kwa hiyo natafuta bakery machine preferably mtumba. Ahsante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom