Salama wakuu? Nimeamua kuacha kazi mwezi huu wa agosti 2021.(naomba nisiziweke kapuni sababu za kuacha kazi) Ninazirudia ndoto zangu za mafanikio kupitia businesses. Nilishasajili business firm...
Wataalamu naombeni msaada. Kuna vifaa fulani vya michezo ya watoto nataka kuviagiza nje ya nchi.
Kampuni iko South Africa wameniambia mzigo utatokea USA na utashushwa Bandari ya Dsm. Bei...
Habari wanajf,
Nahitaji mtaalamu mwenye uelewa na uwezo wa kuandika business proposal kwenda kwenye kampuni au taasisi binafsi au serikali. Anicheki kuna kazi nahitaji tufanye kwa makubaliano...
Wakuu habari zenu?
Naomba kwa wale wazoefu wa biashara ni vitu gani muhimu vinahitajika kwa mtu anaetaka kufungua biashara zifuatazo
1. Biashara ya genge lenye mvuto
2. Biashara ya mama lishe...
Inasemekana kwamba ili unase mfereji wa fedha lazima urisk moja au vyote ya vifuatavyo
MUDA(TIME)
UHAI(breath of life)
MONEY
Unapowekeza muda mfano kusoma shule, kujifunza skills...
Salaam wakuu!
Nina zaidi ya wiki 5 sijapata mzigo wangu toka AliExpress na kwa Sasa sioni tena any added information and updates za maendeleo ya mzigo wangu toka tracking app.
Na siwezi kufika...
Habari
Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T
Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats
Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni...
Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana
1.watu wengi sana wanafungua biashara
then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa
2. biashara ya daladala zimedoda...
Habari wakuu,
Ukosefu wa ajira serikalini, taasisi mbali mbali, viwandani n.k imekuwa ndio chanzo cha vijana wengi mpaka wazee kukimbilia kwenye biashara,
Wengi tunapoanza biashara huwa hatuna...
Hello,
za muda huu wana jamvi,
Nilikuwa nafanya application BRELA upande wa prepare e-application sasa nimekutana na changamoto kila ninavyotaka kuproceed inaniambia classes of shares Group must...
Habari zenu ndugu zangu natumaini mko salama natumaini mko poa,naombeni mawazo yenu ktk hili nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya daladala na matamanio yangu naona yanafikia ktk lengo ss...
Wakuu habari za Leo, binafsi nafaham riziki ipo popote lakini Kuna biashara inahitaji eneo sahihi.
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza nahitaji Kujua sehem gani ambayo kwa mtazamo wako itafaa...
Habari zenu wadau wa Biashara,
Naomba kujua yafuatayo:
Nimefungua biashara ndogo lengo langu ni ili ije kuwa kubwa. Ninashirikiana na mke wangu hivyo nataka tuwe na jina moja la biashara tofauti...
Habari wakuu!
Leo ningependa niweze ku-share na nyinyi wana JF juu ya fursa za kibiashara, hususani biashara ya bidhaa za mtumba kama,nguo,viatu,Bags etc.
Mimi napatikana Dar es salaam, na nina...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote...
Mafanikio ni maendeleo ya kutoka hatua Moja ya maisha kwenda hatua nyingine, mafanikio hayo yanaweza kuwa katika nyanja mbalimbili ikiweno kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Watu wengi sana Tanzania...
Jamani naombeni mwenye kujua kuhusu biashara ya accessories kama saa, hereni, cheni, vipuri, vikuku, spray pamoja na urembo mwingine upatikanaji wake na biashara yake inaendaje.
Nitashukuru sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.