Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Naomben ushaur jamani. nimebet jana nimeshinda 18m sasa sielewi hii pesa ni invest wapi ili iweze ku multiply......... Msaada tafadhali [emoji257]
2 Reactions
143 Replies
10K Views
Nina uhitaji wa kujua Dawa inayo tumika kusafisha chupa mpya kutoka kiwandani kwa ajili ya kupack vitu tajwa hapo juu. Sabuni najua haifai hata kuoshea, sasa je ni dawa ipi nzuri inayo tumika?
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Wakuu nawasarimu..naomba ushauli wenu...nataka kuanza biashara ya asari kutoa tanzania kupeleka kenya,nasikia inalipa sana.sasa humu kuna watu wazoefu wa hizi biashara naomba mnishauli.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Kukosa kujiamini au kutojiamini. Mara nyingi usipotambua mapema kuwa ndani yako ni mfanyabiashara. Huwa anakua na wasiwasi wa kuanzisha biashara yeyote. Lakini kuna njia nyingi za kupitia kabla...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wanabodi na watanzania kwa ujumla. Takribani wiki mbili na nusu shirika la ndege la Tanzania limekua na mfululizo wa delays za ruti zake mbalimbali. Kwa wenye ushuhuda hapa jamvini...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa. Kwa muda kidogo nimekua nikifuatilia sana biashara ya juice na maziwa imekua ikinipendeza sana na nataka kuona kama naweza nikaimudu! Naomba msaada wa kujua vitu muhimu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari ja jioni! Natumaini wote humu ndani my wazima kabisa. Nahitaji vifaa vya umeme vifuatavyo. 1.Continuity tester (tester phone ) ex tronic 2.Battery - Energizer 9vRL 3.Battery charger(...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Nauza mitungi midogo ya gesi aina ya Manjis. Kwa anayetaka anicheki pm nimpe maelekezo Karibuni aise ipo 15 tu na bei no 22,000/= only Tanzania shillings
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanza hii biashara ila Jambo ninalolijua kwamba wakala wa mitandao ya simu huwa anapata faida wakati mteja anatoa fedha kwake Je, wakati wa kuweka fedha kwenye line ya mteja wakala...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Vituo vyetu vya LPG vina tenki kubwa la LPG, kitoleo cha LPG, pampu ya LPG, Kifaa cha Kugundua uvujaji na mita. Mita inafanya kazi ya kupima gesi inayojazwa kwenye mtungi au gari moja kwa moja...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi nataka niwasilishe hoja kibabe Ni hivi kuna zile kauli ooh Mapenzi sio pesa, pawepo na upendo wa dhati basi, ooh ndani pawe na Amani na Upendo ndio kitu kikubwa nisawa. Ila tu...
5 Reactions
7 Replies
3K Views
Wazungu ni watu wa ajabu sana, na wanaamini wanaweza wao tu, na sisi hatuwezi na hatuna information za kuweza kufanya kama wao. Ilitokea mwaka juzi, kuna Mzungu Arusha analima zao fulani hivi, na...
17 Reactions
34 Replies
5K Views
KAMA unatumia mtungi wa gesi ya kupikia nyumbani kwako, basi fahamu kwamba mtungi huo umeundwa nje ya nchi. Lakini muda si mrefu, mitungi ya aina hiyo itaanza kutengenezwa Tanzania na gharama zake...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Ipo eneo zuri sana ndani ya Ilala mwenye kuhitaji tuwasiliane inbox
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wadau, naomba kufahamu mwenye kujua chimbo Kariakoo ambalo naweza pata vifaa vya simu kwa bei ya bure yaani kule kule wanapochukulia hawa wanaotuuzia jumla kwenye fremu zao Kariakoo AHSANTE
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu naombeni mnitajie maarifa ambayo kama nikiamua ku deal nayo nikayapa muda wa kutosha kujifunza katika mtandao basi nitapiga hela maana nasikia Kuna watu wanasema pesa ipo tu hewani ni wewe...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama title linavyo jieleza hapo juu, kama wewe ni mwandishi wa vitabu na huna mtaji wa kuchapisha vitabu sio tatizo tena kwasasa maana technology imesaidia waandishi kuuza vitabu vyao online na...
1 Reactions
62 Replies
18K Views
Biashara ni brand, brand ndo biashara umeona ma'company mbalimbali yakiwatumia watu wenye ushawishi katika jamii kutangaza biashara zao? Well.... Wholesale SHOP haiwezi kuwa Kama duka la kawaida...
0 Reactions
6 Replies
756 Views
Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom