Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari ya Leo. Kwa wale wanaoishi au kupajua katoro, ni fursa gani inaweza kumsaidia mtu kutoboa akiwekeza 500k. Natangulixa shukurani
0 Reactions
6 Replies
2K Views
✍🏿 Kila mtu anaye ishi anahitaji kuwa na mafanikio kwa ghalama yoyote ile. Wengi tumekuwa tukikosa kuyaendea malengo yetu ambayo n mafanikio kwa baadhi ya changamoto. 🙏🙏 Naomba ni bainishe...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimu wote na naomba nitangulize kuomba radhi kabisa kama ntakuwa nimeleta mada jukwaa sio sahihi. Naomba kufahamu namna ya kupata ufadhili wa namna ya kufanya Utafiti na hatimaye kuandika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa niaba ya Benki ya NMB Tunapenda kukujuza ndugu mteja/mwanafamilia ambaye upo kwenye kikundi chenye lengo la kusaidiana katika majanga kama kifo, tumekuja na Bima maalum iitwayo ( Group funeral...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Wakuu niliibiwa simu katikati ya mwezi huu nikafanya maamuzi ya kubadili line sasa nilikuwa na deni la tigo niwezeshe la 160,000 lilipaswa kulipwa mwezi ujao. Nauliza, je Tigo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu leo tena minyama kama yooote. Karibu Kibamba Chama mnada wa minyama ya mbuzi na Kondoo. Hata ukitaka [emoji200] unaagiza jirani tu Nipo na dogo nimalizane nae nirudi Hospital kwa mshua
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani. Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Adonai Aluminium tunatengeneza madirisha & milango ya aluminium and pvc. Pia tunatengeneza shower cabinet,hand rails, shelves na partitions. Pia tunafanya kazi za rangi,skimming,wiring na tiles...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nini kinachopelekea kushindwa Kwa biashara/ujasiriamali Kwa vijana nchini Tanzania Sent from my M2101K7AI using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu. Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika? Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga? Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nisirembe sana, kichwa cha habari kinajitosheleza. Benki gani yenye makato ya mwezi kidogo kuliko benki nyingine au isiyo na makato kabisa? Karibu.
0 Reactions
145 Replies
56K Views
Habari njema kwa wakulima wa korosho Tanzania.
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kichwa Cha habari chajieleza je ni wapi naweza pata mabegi ya special ya wanafunzii kwa Bei pouwa ya jumla hapa dar es salaam Note : Kama unauza onesha sample zake na Bei zakee ( Bei ya jumla )
1 Reactions
0 Replies
900 Views
"Vodacom" Ngoma ikivuma sana, mwishowe hupasuka. Mbali na kuwepo mipango mingi ya baadhi ya watumiaji wa mtandao wa simu za mkononi wa Vodacom hapa nchini kuandaa wanasheria kwa lengo la kutaka...
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa utambuzi wa mawe haya naweza ikawa ni mawe ya thamani, kwa sababu 1. Ni mazito tofauti na mawe ya kawaida ukubwa huo 2. Ataukiyaga yana toa chembe...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nahitaji kuagiza machine ya incubator hivyo kuna duka wanahitaji kuniuzia hiyo machine lipo China kupitia alibaba ebu nipeni uzoefu mliowahi kuagiza MZIGO nje...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari Wana jamvi Hongera bi LATIFA Kwa UTEUZI wa Kuwa mkurugenzi WA taasisi yetu muhimu ya biashara tumaini la watanzania ni kuendelea kutoa na kuongeza fursa za kibiashara nje ya nchi Ombi...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Naomba kujuzwa bei za simu zifuatazo madukani: samsung j7pro, samsung c9pro, samsung a9pro, samsung s8plus, samsung note8.
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Wakuu natumai hamjambo! Naomba mwenye skills na experience katika biashara anisaidie mawazo, namna ya kuinua na kuifanya biashara changa iweze kustawi vizur na kwa kasi! Tuweke utani pembeni...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom