Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu msaada wenu tafadhari, kuna zile Ceiling boards za Tanzania, ninaomba kwa anayefahamu kiwanda chake kipo wapi na kinaitwaje? Ninatanguliza shukran zangu za dhati kwenu nyote
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu katika fikra za nimeweza kugundua kwamba kama utaweza kupata Tsh.100 ya kila mtanzania bas unaweza kuwa billionaire chaapa Iko Hivi; Tanzania ina watu takriban 61,711,296 61,711,296×100=...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
kwa jina naitwa david nahitaji mkopo wa haraka kiasi ni sh. 700,000 nitarudisha 1,000,000 kwa muda wa miezi 5...dhamana ni kadi ya gari la mzazi
0 Reactions
3 Replies
846 Views
Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Naomba kwa mwenye taarifa ya upatikanaji wa zile kamba za kuwambia/ kushonea vikapu hivi vya Siku hizi ambavyo ni rafiki kwa mazingingira...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
KUKU KUCHI NA MALI ZA KALE ZA MJERUMANI. Uhusiano kati ya Mali za Mjerumani na Biashara ya Kuchi. Watu wengi wamejikuta wanafilisika kutafuta mali za mjerumani mara birika mara pasi mara sijui...
8 Reactions
13 Replies
8K Views
Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu Je wapi naweza kubadilisha hizi...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jipatie 13mm Powerful impact driller (2000W) full set kwa TZS 140,000/= ikiwa na TOOLBOX. Ina waranty ya mwaka mmoja ikiwa na.. 1. Bit set za Chuma, Mbao, Ukuta na Aluminium na vifaa vya kupigia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakulungwa Leo katika pitapita zangu kwenye email zangu nikakutana na email 📧 niliambiwagwa nijiandae kwa virtual interview, lakini mpaka Leo Mwezi wa Tano Lakini nakumbuka hilo Tangazo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nimekuja kwenu kutaka fikra na mawazo.. Niko ktkt biashara ya duka la jumla la vyakula kwa muda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwa...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania Lengo La Kuja hapa ni kuomba msaada wa uwekezaji katika biashara ya VIDEO PRODUCTIN, PHOTOSHOOT and GRAPHICS DESIGN ili aweze kusaidia upatikanaji wa vifaa vitakavyo...
8 Reactions
67 Replies
7K Views
Naomba wazo la biashara kwa mtaji mdogo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada wa account nzuri kwa ajili ya saving ile ya vijiehela kidogo kidogo daily na ambayo ntaweza kuweka na kutoa muda wowote isiwe FIXED. Pia isiwe na zile monthly...
3 Reactions
25 Replies
7K Views
Habarini za kazi wapendwa wote. Kikubwa zaidi kilichonifanya niandike Uzi huu ni kuuliza kuhusiana na biashara ya nguo za mitumba (second handed clothes) kutoka nje ya nchi . Ya kwamba utaratibu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninaimani ,humu jf kuna watu wanapiga pesa kupitia mitandao tena wakiwa wanekaa tuu, Tupeane basi maarifa na jinsi ya kuzipata hizo ,tusaidiane kujikwamua kupitia mitandao ya kijamii maana kuna...
1 Reactions
3 Replies
691 Views
Habari wakuu, Nina 120,000 cash hapa mfukoni nahitaji PC nzima inayofanya kazi uhakika. Kama kuna mtu umu anauza naomba anichek 0672037238 Nipo Dar.
0 Reactions
2 Replies
832 Views
South African Game supermarket exits East Africa Market
0 Reactions
1 Replies
577 Views
Habari wakuu? Samahani ndugu zangu naomba muongozo kwa mwenye ufahamu/uzoefu wa biashara ya uuzaji wa samaki wabichi(mahitaji yake kuanzia vifaa na documents kama vile leseni)
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Back
Top Bottom