Yaani ukimuandaa mtoto wako saizi unakuta huyo mtoto mpaka afike 25 anaexperience ya kutosha kwenye business kuliko walihitimu vyuo maana anajua ups and downs za business (mfano hai ni watoto wa...
Watoto hufanya kile wanachokipenda ila mtu mzima kabarikiwa uwezo wa kuujua uhalisia, kubuni mipango na kuifata.
Kuna kitu muhimu ambacho hakikwepeki mimi na wewe tunapotumia pesa, si kingine...
Habari za leo Ndugu zanguni.
Natumaini wote wazima kabisa wa afya na buheri. Leo katika mada yetu tungependa kupata wasaa moja mbili kutoka kwa wahusika wa humu walio tayari na experience katika...
Habari wakuu.. Husika na bandiko hapo... Mimi nipo Tanga nahitaji hii pikipiki nifanyie biashara ya bodaboda....iwe full documented.
Mwenye nayo tuwasiliane PM.
Natanguliza shukurani.
Kupata Watanzania wengi matajiri sio rahisi tusiporuhusu watu kununua hisa na kuuza kwenye masoko makubwa ya hisa Duniani yaliyoko Ulaya, Marekani na Japan. Huko ndiko matajiri wa dunia...
Amani kwako!
Nataka kufungua account mpya bank, ila naomba nipate ushauri kutoka kwa watu wa profession ya mambo ya banking, kwamba ni benki gani na aina gani ya account nikifungua itakuwa vyema...
A Professor explains MARKETING to MBA students; What's your favorite?
1. You see a gorgeous girl at a party. You go up to her and say “I am very rich. Marry me”.
That’s Direct Marketing.
2. You...
Rai yangu kwa Watumishi wa Umma tunaoishi vijijini hasa maeneo yanayoruhusu shughuli za Kilimo, tujikite katika Kilimo kwa nguvu.
Faida ni nyingi;
1. Uhakika wa chakula
2. Ongezeko la kipato
3...
Habari zenu wana JF! Kwanza nitangulize shukurani zangu za dhati kwenu kwani nimekuwa nikijufunza mambo mbalimbali kutoka kwenu, asanteni sana.
Nipende kwenda moja kwa moja katika mada, mimi ni...
Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) imefanya safari yake kwanza leo alfajiri kuelea mji wa kibiashara Guangzhou nchini China.
Air Tanzania itakuwa inafanya safari zake moja kwa moja toka...
Wakuu poleni na majukumu.
Mimi ni mjasiriamali mdogo niliyejikita katika mradi wa ushonaji. Kimsingi huwa nauza mashati ya shule, nashona kwa oda kwenye shule zinazohitaji na kipindi cha msimu...
Wadau,
Binafsi napenda utanashati yaani full kupendeza. Yaani nimetupia pamba Kali, saa Kali na vitu kama hivyo But now nimejikuta nina interest sana na Pete (Si ya uchumba) bali ni single tu...
Wakuu habar, nimewaita hapa, tupeane mbinu za biashara na changamoto zake, mbinu zangu mimi ni zifuatazo, huwa natumia mbinu ya kumwambia dereva kuwa ukileta hesabu wiki nzima, wiki inayofuata...
Mimi naomba mnishauri, nataka nianzishe biashara ya kuuza simu used ila sina uzoefu naomba wenye uzoefu wa hii biashara wanishauri.
Na ugumu zaidi nauona kwenye kuupata mzigo wa kununua ili uje...
Habari za wakati huu;
Leo nataka tuzungumzi kitu kinaitwa "Business Model"aka mfumo au muundo wa Biashara.Wajasiriamali wengi huwa wanakama katika Biashara kwa kujikita zaidi kujenga Biashara...
Habari zenu ndugu wananchi,
Leo naomba kuwauliza swali wakaz wa Dar mliopo humu JF
Nimejiunga na ma group kadhaa yanaouza vitu used kutoka mikoa mbali mbali
Kuna jambo moja linanipa utata...
Wakuu salam
Nataka kufanya hii biashara
Naomba mwenye ujuzi tushee
Printer ya aina gani inatumika
Materials
Ujuzi
Na upatikanaji wake
Natanguliza shukran
Nimeatach picha ya sample
Shalom,
Hatimaye nimefika Iringa baada ya kuamua kuondoka nyumbani na bado sijapata kazi wakuu. Ninachoshukuru kwa sasa angalau nimepata hifadhi japo sina uhakika kama ni ya kudumu.
Pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.