Habari zenu wadau,
Nataka kuanzisha biashara ya pool table wenye experience na hii biashara njooni tujuzane faida na hasara zake na upatikanaji wake hapa mwanza.
Asante
Habari natafuta mfadhili ambaye atawekeza ili kuanzisha fm radio station mkoani arusha.
Gharama za mradi huu ni Tshs 48,000,000/=
Faida ambayo inaweza kupatikana kwenye mradi huu ni kuanzia Tshs...
Mimi ni graduate,nimejichanga changa nkafikisha kiasi fulan cha pesa ili nifanye biashara ya kuuza nguo za mitumba mkoani.
Kuna siku nilipita humu nikaona Uzi kuhusu ununuaji wa nguo za mitumba...
Hello wana Jamii Forum,
Nafikiria kuanzisha biashara ya uwakala wa bima aina zote hapa Dar es Salaam na ikiwezekana na mikoa ya jirani.
Sina utaalamu sana ila nilifanya kazi kidogo kwa hizi...
Habari zenu
Nimekopa shilingi milion 30 bank CRDB. Nahitaji kununua gari mojawapo katika hizi IST, ALEX, RACTIS, CARINA na pesa itayobaki nikamalizie mjengo wangu chanika (15MIL) na ibaki pesa...
Wakati fulani nilikuwa nimeenda kufanya interview ya kazi katika kampuni moja.Nilipofika pale nilikuwa na Computer yangu pamoja na simu huku nikiwa kwenye mstari kusubiri kuingia kwa ajili ya...
Wanajf naomba msaada wenu wakujua wapi kwa kariakoo naweza pata magauni marefu ya wadada wa kiislam kwa bei chee za jumla nijitafutie mkate
Nimeambatanisha mfano wa gauni hapo
Nina wiki mbili tangu niombe mkopo bank ya CRDB lakini hadi sasa sijaingiziwa pesa. Jana nimeenda kufuatilia nikakutana na watu kibao nao wanalalamika tena mwingine aliomba mkopo wa kumuuguza...
Habari zenu!
Ewe mfanyakazi na hata ulie jiajiri katika sekta binafsi. Siku kama hii ya leo 01/05 unaitumia kutafakari nini juu ya ufanisil jitihada na juhudi ulizofanya kufikia malengo ya...
Moja kati ya changamoto ambazo huwa nakutana nazo mara kwa mara ninapokuwa nafanya kazi na wateja wangu ni tatizo katika uandaaji wa Business Plan.Kwanza kabisa wengi hushindwa kutofautisha kati...
Kuna watu wanachukulia kwba Msomi hatakiwi kuanzisha biashara ndogo kama za kuuza vitumbua, mihogo au uji.
Haya ni mawazo ya kijinga sana na wanao waza ni wale wenye uwezo mdogo wa kuwaza...
Habari za muda huu jamani,
Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na...
NEW YORK: Demand for the iPhone and other Apple products drove profits to more than double in the January-March period as the tech giant continued to capitalise on smartphone addiction.
Profits...
Ninahitaji ushauri,
Mimi ni mfanyabiashara hapa Tabora na huwa nalipa SDL ya wafanyakazi bila kuwachelewesha malipo ya mwezi.
Tulivyoenda lipa SDL ya mwezi wa kwanza tukalipa na nikaambiwa...
Natural Resources and Tourism Minister, Lazaro Nyalandu
The government has scrapped all hunting licenses for the Green Miles Safaris Ltd for violating legislation and regulations governing...
Kuwa Kangomba siyo dhambi kama wachache walivyokaririshwa!
Kangomba ni rafiki wa mkulima, kangomba anatoa pembejeo kwa wakulima, kangomba anatembelea wakulima wake, kangomba anatoa chakula kwa...
Habarini Wadau na Poleni na Upepo wa Corona.
Nahitaji kufungua kampuni itayodeal na financial services.
Hivyo naomba jina zuri ili niweze kulitumia.
Zawadi ya elf 10000 itatolewa kama zawadi.
Asee Christmas kwangu imekuwa ya hovyo balaa, naona kama imekuja niumbua.
Kwanza kabisa mimi ni kijana wa miaka 33 ni degree holder lakini mpaka sasa sina kazi ya kueleweka, jambo ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.