Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Naomba kufahamu kampuni ambayo inajihusisha na ununuzi wa mahindi hapa Tanzania ... kwa mtu yeyote anaefahamu naomba msaada please.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanatakiwa vijana watano (5) wenye wazo la ushawishi la kibiashara, kila mmoja wazo lake lisizidi mtaji wa shilingi laki moja. Faida atakayoipata kwa mwenye wazo zuri, ni tutawekeza fedha na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za weekend wanajamvi, Nina tegemea kupata 4M ndani ya siku kadhaa zijazo kusema kweli natamani nifanyie jambo ili izalishe imebidi niombe mawazo kwenu wadau. Matumizi ya kawaida ninayo...
6 Reactions
94 Replies
13K Views
Moja kati ya kazi kuu ya Benki Kuu ni kudhibiti uchumi kazi ambayo inataka uwepo wa washiriki kwa ngazi zote ili maamuzi ya Benki Kuu yaweze kuwafikia wananchi wa kawaida amba wanaaswa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
771 Views
Salaam Familia Napenda kuuliza hizi ID Holders zinapatikana bei gani kwa jumla. Wana Print kwa bei gani kwa jumla wanao Print. Wauzaji wa rejareja wanuzaje...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii nchi wajinga ni wengi mno na hawataisha, yaani mtu hawezi hata ku-reason. Kweli kama kilimo kinalipa kuna mtu kweli atanyanyua mdomo kusema njooni tuwalimie kwa niaba yenu? Au kama ufugaji wa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau, Jamani naomba msaada kujua kampuni inayofanya shipping kwa bei poa kutoka kwenye maduka ya CHINA kama vile ALIEXPRESS AU ALIBABA au Maduka ya US kama Amazon. Kwa mwenye kujua...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Miaka takribani 25 iliyopita nikiwa kijana mdogo sana nilibahatika kuwa kiongozi wa watoto wenzangu.Haukuwa uongozi mkubwa kwani ilikuwa ni kanisani na nilikuwa nasimamia zaidi ya vijana wadogo...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Ebana nataka kujaribu kununua simu kikuu online. Naomba aliewahi kununua kwa njia hiyo anijuze ni nzuri au zinakuwa famba.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau tunatafuta mtu aliye tayari mwenye uwezo wa kuleta mashine kwa ajili ya kusaga kokoto. Tuna eneo kubwa sana lugoba na lina very high deposit content. Karibuni sana wadau. Any questin just...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimeleta fursa hii kwenu watanzania wenzangu lengo ni kuona ni jinsi gani tunaweza kujikwamua kiuchumi. Idea hii hakika akuna mtu atajutia,so watanzania wengi awatambui kwamba kunapesa nyingi...
11 Reactions
49 Replies
10K Views
Habari wakuu, Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank. Nimesikia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi. Kuanzia...
0 Reactions
25 Replies
14K Views
Habari, Naomba kujuzwa ni sehem gani nitapata mtumba grade A kwa Dar es salaam. Natamani kuanza biashara hii ya mtumba lakini jeans tupu na PIA inahitajika mtaji wa kiasi gani? Pia...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wanajamvi naomba ushauri, nina pesa kidogo kiasi cha laki nane naomba ushauri kwa wazoefu na biashara. Ni biashara gani ninaweza kufanya na ikaniletea faida ijapo pesa ya kula. Naombeni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu? Ninapopeleka proposal kwenye makampuni mbalimbali nimekua nikipata mrejesho wa namna hii mara nyingi kuwa, "Wazo ni zuri, lakini hatuna bajeti" Kwa upande mmoja naamini kweli...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio. Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
KUHUSU UCHUMI: USIPENDE KUTUMIA USICHO KUWA NACHO Siri mojawapo ya kukufanya ubaki kwenye kutokwenda mbele kiuchumi ni mazoea ya kutumia kitu au fedha ambayo huna! Yaani, kwa kuwa una uhakika...
16 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna huduma ya Airtel inaitwa TIMIZA ambapo unaweza kopa hadi TZS 500,000 na kutakiwa kurejesha ndani ya siku 21 Tatizo ni Riba yao inafikia hadi 24% kwa muda huo. Hata kama ni mkopo husio na...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Habari wakulungwaaa! Huyu mwamba ni mhuni wangu. Kitambo sana tulisoma wote kwenye shule ya upili. Hata advance tulienda pamoja japo yeye alikuwa mchepuo wa art mi sayansi, tuliishi wote bweni...
18 Reactions
44 Replies
5K Views
Ningependa tubadilishane mawazo, ushauri na uzoefu kwa sisi wajasiriamali na wafanyabishara jinsi ya ku balance biashara na mapenzi ili kutoweza kutoka katika barabara ya kutafuta mafanikio. Hasa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom