Habari wana Jamvi!
Dada Cristina Mayville Stenbeck mwenye umri wa miaka 39 (Asili yake Sweden) ndio mmiliki halali (Chairman and principal owner) wa kampuni ya Investment AB Kinnevik. Kampuni...
Karibuni tuendelee na mijadala midogo midogo yenye lengo la kuchangamsha Fikra na kuongeza Upeo.Leo nataka tujadili namna ambavyo mtu anaweza kuongeza performance yake katika maisha ambapo...
Wasalaam, naomba mwenye laki moja anayeweza kuikopesha kwa riba mpaka tarehe 30/4 anisaidie tuwasiliane pm unahitajika leo kusolve dharura iliyojitokeza.
Natanguliza shukrani
Habari za majukumu naombwa kujuzwa juu ya biashara ya vioo vya simu vya bei ya jumla mi nifundi simu pia naduka la accesories nahitaji kupunguza gharama za upataji wa vioo na touch haswa kwa simu...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Ndugu zangu watanzania;
Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi...
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) ilianzishwa kwa Sheria ya Bunge na 11 ya mwaka 1995, na ilianza kufanya kazi tarehe 1 Julai 1996.
TRA ndio wahusika wa mambo yote yanayohusisha kodi mbalimbali...
Wakuu!
Wasalaam!
Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,
Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo...
Ukinidanganya mimi hua nakuchukia kwa muda mrefu sana menyu inasema 3000 unapata gb 1.5 kwa siku saba nimelipia 3000 napewa gb 1.2 alafu Internet iko chini sana kwakweli nimechukia sana
7 ways how blacks can learn to manage and improve their financial skills from indians.
1. Family Business
*according to Credit Suisse Family 1000, a recent study have shown that India ranks...
Habari wakuu, Poleni na majukumu.
Samahani, Ninaombwa kuelekezwa jina na mahali kilipo kiwanda cha Kutengeneza bidhaa Plastic hususani Gumboots ndani ya Tanzania.
Nitashukuru.
Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa.
Leo naomba tupeane uzi juu...
Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya.
Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile...
Nina rafiki yangu mmoja ambaye amebahatika kukutana na kuongea na bosi mmjo wa kampuni moja kubwa iliyojikita kwenye biashara ya mafuta na gesi; katika maongezi yao rafiki yangu alipendezwa na...
Wakuu naomba mwenye information ya wapi naweza kupata ufadhili wa wazo la biashara. Bado lipo kama wazo sijaanzisha chochote.
Ni app ya kujifunza wakulima nimeshakusanya materials zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.