Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wakuu, Leo niko na swali moja, muhimu na sijawahi lipatia ufumbuzi. Kwanini unaweza nunua gari nje kwa bei nafuu lakini, likifika Tnzania makato yanakuwa maradufu hadi unaanza likatia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kusitishwa kwa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na falsafa ya, "Quis Custodient, Ipsos Custodes." Mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulisitishwa kufuatia majadiliano yenye tija yaliyofanywa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mambo yanayoendelea nchini yameanza kuzua mashaka juu ya chanzo cha kifo ch magufuli Hatutaki kuamini kuwa kifo cha Magufuli hakikuwa cha kawaida lakini matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama...
11 Reactions
51 Replies
4K Views
Money Secrets You Need To Know! 1. Savings will not make you rich You need to invest the money saved in the air conditioner to get more of a profit from it. This will help you to be...
6 Reactions
3 Replies
898 Views
Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi. Makamu wa...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Baada ya Fremu ya laki na ishirini kwa mwezi kunitoa nishai nimeamua kukimbilia uswahilini, kwanza kodi ya mwezi mmoja (laki na ishirini) uswahilini ni kodi ya miezi minne. Watu wengi mzunguko wa...
10 Reactions
43 Replies
8K Views
Binafsi ninekua mtumiaji wa tecno smartphone pamoja na infinix.. baada ya kusemwa semwa sana nikaona nivute kitu samsung galaxy a21s ...cha ajabu sioni tofauti kabisa..
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari ndugu zanguni? Kwa mwenye uelewa kuhusiana hii site ya trucklocator ya nchini Uingereza. Hofu yangu isije ikawa ni ma conmen nikapigwa pesa hapa maana uchumi wenyewe ni mgum huu...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Habari wana JF Naomba kujuzwa Kwayoyote anaefahamu gharama za usafirishaji wa TV kwa njia ya Meli inagharimu kiasi gani mpaka hapa Kwetu.
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari Team Mheshimiwa Rais,Waziri Mkuu& waziri wa Mawasiliano/Waziri wa ajira&Maendeleo ya Vijana. 1.Sisi ni sehemu ya wajasiliamali tuliopata ajila zetu ambazo sio rasmi kwenye mitandao ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuwa na reli ya kisasa inayokwenda kasi ni jambo la kiunchumi na kijamii/huduma. Lakini kutokana na hali yetu ya kiuchumi kuwa sio nzuri linafaa liwe la kiuchumi zaidi kuliko kihuduma. Yaani reli...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu mimi ni mgeni hapa. Naomba kujuzwa minada ya Dar na karibu na Dar kama Pwani na Morogoro, minada ya bidhaa mchanganyiko.
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu mbinu za kufanya biashara ya Stationary...faida zake na hasara. Nahitaji kujua mambo gani yanahitajika kwa beginner wa hii biashara. Asante ni.
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Natumaini ni wazima wa afya, poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Lengo la bandiko hili ni kusaidia vijana walioko chuo na wanaotarajia kwenda chuo. Hoja ni kitu gani au...
3 Reactions
77 Replies
11K Views
Naomba kwa wanao fahamu chimbo la mtumba Grade A kwa Dar es Salaam, za uhakika sio wale wanaochakachua pia bei iwe nzuri sana. belly ziwe za suruali Cadet, Shati, Rubber na sandals. Karibuni
4 Reactions
67 Replies
19K Views
Wandugu naomba kujuzwa bei ya vitu vya umeme mpakani Tunduma hasa friji maana nasikia kule bei ya vitu hivyo ni rahisi sana kushinda hata Dar nataka nijaribu kujichimbia huko siku za usoni.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je naweza pokea muamala(Pesa) toka nje ya nchi kama Ubelgiji au Uholanzi kwa Airtelmoney money? Kwa anaefahamu anisaidie please.
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Inawezekana unatamani biashara au kampuni yako kuwa na website mtandaoni, lakini huna fedha za kutosha kulipia gharama za kutengeneza website. Hivyo basi kuna njia mbadala ambayo binafsi naiona...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Heri kwenu wadau. Napenda kujua kama kuna taasisi inayotoa mkopo kwa wafanyakazi wa sekta binafsi (Mf. Shule za private n.k), masharti yake na makorombwezo mengine. Naona sekta nyingi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Licha ya kuwa juzi kati Tala walipata Tena uwekezaji wa zaidi ya bilioni 250 ($110 ml). Leo hii nimepata taarifa kuwa Kampuni hii yetu pendwa haitatoa tena huduma Tanzania. Bado sijajua sababu...
0 Reactions
59 Replies
11K Views
Back
Top Bottom