Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Kampuni ilisajiriwa mwaka jana mwezi wa tatu na ina wakurugenzi wawili sasa hivi inahitaji kuongeza mkurugenzi mwingine utaratibu ukoje?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Source: Apongeza shirika kuokoa mabilioni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Angelina Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)kwa kuokoa mabillioni ya pesa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, wana ndugu Ni saa 7:30 usiku huu nikijaribu kutafuta majibu sahihi ya ni jinsi gani naweza kuagiza bidhaa kutoka China hadi kunifikia mikononi mwangu kwa uhakika zaidi. Nina application...
3 Reactions
5 Replies
15K Views
Habari zenu ndugu zangu, nina mpango wa kuanzisha duka la vifaa vya pikipiki, ningependa kujuzwa mengi kuhusiana na biashara hii. Binafsi hadi sasa nina mtaji wa 1m. Karibuni.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tatizo la kukosa mtaji limekuwa kubwa mno, watu wengi wanandoto za kufanya biashara ili kujikwamua kiuchumi, kila mtu anatamani walau afanye kitu kwaajili ya kupata rizki ila wanashindwa namna ya...
6 Reactions
6 Replies
4K Views
A few months after the statutory retirement of the former chief executive officer of the Tanzania Tourist Board, Mr. Peter Mwenguo, President Jakaya Kikwete has appointed Dr. Aloyce Nzuki to take...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Tangu umemaliza chuo ni kitu gani umefanya kimekukomboa katika maisha? Mimi ndo kwanza nmemaliza chuo. Hamna chochote nlichoanza kufanya but nafikiria kuanza biashara ya urembo. Kujua kupaka...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Mara Nyingi Naona Matangazo Kwenye Mtandao Kuhusu Kikuu Online Shopping.Sasa Kinachonitatiza Ni bidhaa zinazouzwa Humo mbona Bei zake Ziko Cheap sana,Mara Ya kwanza Nilishtushwa Nilipoona Iphone...
0 Reactions
7 Replies
953 Views
hii ni moja ya kampini iliyo funga biashara zake tanzania mapema kabisa baada ya beana yule kushika madaraka tafadhari kama mawakala mpo huku tunaomba shaurianeni mturejeshee huduma zenu kwa...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Wakuu naomba kupata shule kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Naomba kuwasilisha
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari Great thinkers Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc) Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake Au kama kuna fursa nyingine nzuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Za mida wapendwa. Uzi wa leo ni wa kuangalia za biashara zilizopo mkoa wa DSM tu. Na kama uzi huu utazaa matunda basi bila shaka tutaelekea mkoa mwingine. 1. Kushona nguo- hapa ukipata fundi...
4 Reactions
6 Replies
5K Views
Naomba ushauri nini nifanye nina mtaji wa tsh.20000 nifanye biashara gani? Kwa kipindi hiki cha mvua (kifuku) nipo Nachingwea kijiji cha Mbondo natumaini nitapata mawazo mazuri kutoka kwenu.
7 Reactions
40 Replies
13K Views
Wakuu natumaini mu wazima. Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi Ni mama Lishe, niambie au nishauri,unachopenda kula au ukikute sehemu yangu ya biashara pindi unapohitaji kifungua kinywa au chakula chako Cha mchana unapokuja,ili ufurahie huduma yangu kesho...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Tambua! *Nauli ya Buses *Bei ya mafuta *Bei ya beer *sigaret *Data Vikipanda huaga havishuki , 100mb 500 /= tamko la serikali linazungumzia mitandao gani kurudi bei ya zamani? Hakuna mabadiliko
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Naomba msaada wa kujua TILL NUMBER kwa lain za tigo na voda bila kufika dukani kwao. Asant sana.
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
NEW GENERATION TEACHERS nawakubali sana ukiachana na kwamba nyie ni watumishi pia mnabusness oriented mind. Mnajituma Sana kukijenga kiuchumi, Mungu azidi kuwaongoza katika shughuri zenu. Nyie...
5 Reactions
8 Replies
852 Views
Back
Top Bottom