Wadau habari za majukumu. Leo nilitaka nimtumie rafiki yangu kitabu kwa njia ya DHL lakin nimechoka ghafla baada ya kuambiwa kitabu chini ya kilo moja ni laki na nusu (150,000 Tshs). Sasa nipo...
Jaman naomba kuuuliza kati ya DHL na Fedex wap ni wazuli kuwatumiiiia. Namaaanisha wanaunafuuu ukizungumzia swala la clearance na vi charge vidogo vidogo maana kuna sehem nlisikiiia kuwa bora ya...
Hoja hii inaweza kuwa ngumu kueleweka lakini maana yake ni hii;
Ili Mkulima ukopesheke kwenye taasisi za benki unapaswa ukidhi haya:
~ Uwe na taarifa za mauzo ya mazao yako
~ Uwe na hati ya...
Msaada tutani nimeingia online nimevutiwa sana na products za kikuu.
Mwenye experience yoyote ya kununua vitu kwa hawa jamaa please anipe muongozo maana nimewaelewa sana.
Wakubwa nme get stack kdgo kuhusu kufanya maamuzi kuhusu frame za uswahilini au za laki na kitu, ukweli nataka kuuza phone accrssories lakn na big dream niuze kiukubwa na upana kdgo na nahisi...
Ndugu zangu naomba kujuzwa biashara ya rasta na urembo mdogomdog wa kike yani zaidi vinanunuliwa wapi faida ikoje pamoja na changamoto zakee na location nzuri kufanya hiyo biashara zaidi ni maeneo...
Salaam ndugu zanguni
Kiufupi mimi ni mjasiriamali mdogo katika sekta ya kilimo, nimekuwa mkulima wa mpunga kwa takribani miaka mitano na hata wakati huu niko shambani nikisubiri muda wa mavuno...
Greetings.
Kama kawaida leo tunakutana tena nikikupatia darasa muhimu kabisa ambapo nitajibu swali kati ya UpWork na Freelancer.com wapi unaweza kuwa na nafasi zaidi yakupata kazi?
Jibu la...
Naomba kujuzwa, kwenye App ya Flightradar24, ndege za Precision Air hazionekani wakati zinaruka kwenye anga la Tanzania, lakini zinapovuka mpaka na kuingia kwenye anga la Kenya zinaonekana. Ndege...
Nina ndugu yangu ambaye natamani sana msaidia sababu ana changamoto ya kazi. Sina pesa nyingi kwa sasa but nadhani angalau hiki kidogo nlicho nacho afanye kitu.
Nina tsh 1,000,000. Nataka aipande...
Wakuu nilikuwa naomba kufahamishwa michongo ya kusambaza bidhaa mikoani au kutoka mikoani kuingia dar. Kwa anayefahamu ni mishe ipi iko poa au kama una connection yoyote eiza kuchukua vyakura kama...
Kwa mala ya kwanza siku ya jana nimefanikiwa kumpiga mhindi pesa mill 2 nilikuwa nahitaji kuifanya Biashara hii pesa niliyoipata, lkn changamoto imekuwa Aina ya Biashara ya kuifanya, msaada wa...
Naomba kufahamishwa mimi kama mjasiriamali mdogo ni biashara gani naweza kufanya zikaniinua kiuchumi maana mtaji nilio nao ni mdogo.
Kama zitakuwa hata ni za kuingiza 10,000 kwa siku sawa tu...
Wanabodi,
Lile Shirika letu la Ndege, ATCL, lililokuwa mkao wa kifo, baada ya kuwa hoi bin taaban huku jeneza la kuizika rasmi likiwa limeishaandaliwa, hatimaye sasa litafufuka, kwa kuibuka...
Karuturi Global Limited, an India-based company with interests in agricultural cultivation, food processing, floriculture retailing and information technology, plans to invest $2.5billion in...
Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar Mama yetu mpendwa Samia Hassani Suluhu sisi wafanyabiashara tunakuomba uondoe/utengue marufuku ya kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi maduka...
Karibuni watu yeyote anaetaka kuchimba au kuwekeza katika mbachimbo ya Madini ya dhahabu Chunya tuna maeneo makubwa yaliyo fanyiwa utafiti Na wizara ya Madini kwa ajili ya machimbo ya dhahabu...
Habari zenu,
Kuna technology mpya ambayo niko kwenye process za kuikamilisha ila ninahitaji kufunga antenna juu ya mnara ili system iwe katika efficiency kubwa.
Naomba kwa anayefahamu bei za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.