Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Hongereni kwa mapambano ya uchumi. Nimefikiria kuanzisha biashara tajwa hapo lakini sina uzoefu sana kama baadhi yenu humu.Kibnafsi location ya kupata mbuzi ipo nje kidogo ya mji na location ya...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Ndugu husika na kichwa cha habari chajieleza hapo juu. Ninahitaji niwe na biashara yangu lakini wakati nafuatilia laini za uwakala M-Pesa ,Tigo Pesa na Airtel Money , sehemu zote kuanzia Tigo...
3 Reactions
31 Replies
14K Views
Naomba kufahamishwa bei ya mbuzi WA size ya Kati na wakubwa, naweza kusuply zaidi ya mbuzi 200 kwa week. Nipeni bei na wateja au Madalali wa vingunguti tufanye biashara.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Naomba msaada. Nawezaje kufanya biashara kimataifa kwa kupeleka bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania, hasa nchini Marekani. Channel zipi nitumie na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanini wengi wanafeli katika ufanyaji wa matangazo ya kulipia katika mtandao wa instagram na facebook? Inawezekana na wewe kila mara unapofanya matangazo yako bado unapata matokeo mabovu na...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Moja kati ya mambo yanayonishangaza sana kuhusu binadamu na silka yake ni jinsi ambavyo maneno yanavyoweza ama kumjenga mtu au kumbomoa. Miaka mingi sana iliyopita,nikiwa kijana mdogo nimehitima...
2 Reactions
2 Replies
781 Views
Kifupi ni kwamba kufuatia agizo la magari yanayoagizwa nje kukaguliwa hapa TZ sijui na gereji ya UDA kwa gharama za muagizaji. Hizi kampuni 2 zimefungua ofisi DSM kutoa huduma hiyo bure kabisa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za Mwaka Mpya wanajamii forum nilikua naomba fursa ya biashara kwa wenyeji wa mkoa wa Mbeya
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Ninapoandika andiko hili asubuhi,Mfukoni ni fedha TASLIM SHILING 5000,Benki nina Pesa Kidogo,Vijiasset kidogo sana,Madeni Makubwa sana na Malengo Makubwa sana.Najua hata wewe unayesoma hii unaweza...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
Msimu huu umekua na maajabu sana kwenye bei ya Mpunga. Kwa masoko ya Ubaruku,Igulusi na Chimala debe moja la Chenga sh 12,000/= mpka 15,000/= huku bei ya Mpunga kwa kipimo cha debe kama hicho...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji watu wanaojituma na wenye uwezo wa kufanya biashara kama kuuza matunda, mbogamboga, kusafisha viatu, kuuza kahawa n.k. Unapewa mtaji usiozidi laki 5 na utatakiwa kutoa gawio kila siku...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji433]Author- Coach Lazaro Samwel Kuna watu mpaka sasahivi hawajui umuhimu wa facebook,instagram,whatsapp n.k kwasababu bado wanajua hii mitandao ya kijamii ni upotezaji wa muda. Kuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana harakati! Nimevutiwa na biashara ya dagaa wakavu kutoka Zanzibar, sasa ndo naandaa plan ya biashara hiyo. Nataka ifanyia hapa Dar, maeneo ya masoko ya Kariakoo, Ilala, Temeke...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Amani ya Bwana na Iwe nanyi.[emoji1666] Baada ya Kukaa kodogo na kutafakari Namna naweza kujikwamua na Kupambana na Hali Yangu. Basi leo Mtanzania mwenzenu nimekuja naomba msaaada.Ila Jambo moja...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Najaribu kulipa kwa njia hii inagoma na natumia mpesa MasterCard nakosea wapi?Kama ni pesa card yangu nimeweka pesa za kutosha. >The transaction has failed due to lack of response from your...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Je, naweza kuendesha maisha yangu na familia kwa kutegemea mikeka tu? Maana sina kazi na nina familia. Msaada Tafadhali
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Ukitaka kupata hela kama wanayopata washindani wako ambao inawezekana mpo soko moja na mnauza bidhaa ambazo zinataka kuendana au zinaendana kwa namna moja ama nyingine basi wewe jifunze kuuza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hebu naomba kwa siku ya leo ewe mfanyabiashara ukae na utulie ujiulize maswali haya maana yatakusaidia kuachana na habari ya kuonesha biashara yako ni ya kawaida kama washindani wako au kuonekana...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Soko lenye ushindani haimaanishi kwamba ni soko lisilokuwa na fursa,soko lenye ushindani tafsiri yake ndogo lakini yenye hela kubwa ni kwamba “Tayari ni soko lenye fursa ya kuweza kufanya vizuri...
1 Reactions
1 Replies
755 Views
Back
Top Bottom