Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Hizi hapa listi ya biashara zenye mtaji mdogo: 1) Kuuza matunda. 2) Kuuza juice mashuleni haswa kwa shule za msingi na sekondari. Hapa ukifanikiwa kupata jokofu imara basi umeshamaliza kila...
8 Reactions
16 Replies
14K Views
Habari jamii mimi ni kijana wa kitanzania nafanya biashara ya production yenye huduma za picha mnato , video kwenye sherehe pamoja na photoshop pia ofisi yangu inajihusisha na kuweka software pc...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau habari, naomba kuuliza, utaratibu wa kupata chumba kwenye apartment za serikali za NHC ukoje? ,mfano apartment za shekilango, magomeni etc
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Biashara ya ndege haiwezi kuleta faida kabla payback period haijafika ni vyema unapotwambia imeingiza hasara uwe unatupa na pay back period ilikua ni miaka mingapi. Na je tayari ilishafikiwa. Ila...
18 Reactions
149 Replies
9K Views
Hii Kampuni inajihusisha na mikopo ya biashara, inafanya pia kazi online Tanzania kupitia huduma yao inaitwa Net Service. Yaani wanakupa mkopo sehemu yoyote Tanzania kupitia simu ya mkononi...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Kuna anayejua abc za kuanzisha kiwanda cha plastic kama ndoo, viti na mabeseni? Nazungumzia zaidi upande wa machines.
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Vigezo vp vya lazima ili uwe na account NMB??
0 Reactions
26 Replies
33K Views
Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali. "Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk. Nisaidieni ------------------ KISHERIA: inatakiwa uwe natin namba naleseni...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari za wakati huu. Lengo ni kutaka kuwekeza, pesa katika Biashara ya CHAKULA hasa mgahawa. Je 5M inaweza Kufanya kitu kikubwa katika Biashara na kujitofautisha na wengine ili kuwa level ya...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau mambo Vipi mko poa? Nina wazo ila sina mtaji wa kuanzia nikipata wa kunishika mkono ntashukuru. Ok. Plan yangu ipo hivi wazo langu ni kuwa nikiwa na kama sh 50,000 hizo zinatosha kabisa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu mwenye kujua utaratibu wowote wa kufungua fixed account mana kueka pesa ndani nmeshindwa bora nizifungie tu.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji...
5 Reactions
68 Replies
9K Views
Masada anayekaa maeneo ya kuanzia kariakoo, Fire, mpaka upanga karibu na muhimbili. Kama kuna anayeishi maeneo hayo au anafanya Biashara shida yangu kupata sehemu safi nitalotumia kuandaa matunda...
1 Reactions
0 Replies
587 Views
Neno customer care, sio neno geni masikioni mwa watu wengi. Lakini pia ni kiungo muhimu sana katika biashara. Kwa lugha yetu ya nyumbani tunaita "Huduma kwa wateja". "Huduma kwa wateja ni...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini Wana JF, Nnahitaji Mkopo wa 2M kwa ajili ya maswala ya biashara. Mimi ni muajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali yaani NGO. Nimejaribu kuulizia NMB ambayo ni bank ninayopokelea...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari wakuu daah kwanza samahani sana kama unakula kwa mama, slay queen, sharobaro au bado una bumu samahani kwa kukusumbua maana nahisi wenda hutonielewa. Kuna hii biashara ya midoli ya mtumba...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kila biashara ya rejareja Ina changamoto zake. Biashara ya nyumba za kupanga pia ina kero zake. Unapojenga nyumba ya vyumba sita na kuipangisha chumba kimoja kimoja ni rahisi kupata wateja. Ni...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Hali inazd kua tata kabsa vifurushi vmekua very expensive utokaa uamin had tulokimbilia Zantel hali tete had uni offer mambo magum bado daaa....
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba mwenye namba za simu za watu wa FedEx anisaidie, namba zao zilizopo kwenye website yao hazipokelewi. Thanks
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom