Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Kwa utafiti wangu usio rasmi naona upatikanaji wa cement twiga no 42 bado ni changamoto kubwq na inasababisha bei ya cement kupanda. Mfano katika huu utafiti Bei ni 16000 ambayo ni juu sana. Au ni...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Nahitaji kujua kama kuna mwenye anaifahamu anifahamishe
0 Reactions
2 Replies
976 Views
Habari za leo wakuu wa idara. Wakubwa kwa wadogo nahitaji kufungua kampuni ya usafi, kwa uchache sijapata mwanga vizuri kuhusu biashara ya namna hii. Je ninahitaji vibali kufanya kazi hii? Mtaji...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Hi Wakuu! Nimepata one of the business partner ambaye yupo Canada ameniomba nimsaidie kutafuta utaratibu unaohitajika kufuata katika uagizaji wa Vifaa tiba Toka Bangladesh. Mtaji siyo tatizo...
1 Reactions
2 Replies
885 Views
Wakuu hope mko poa Nina wazo la kuanza bihashara ya pedi, naomba mnishauri ni pedi gani zinauzika saana. Kati ya HQ, freestyle, Always, softcare etc Mtaji ni laki8 Wanawake naomba mawazo yenu
2 Reactions
7 Replies
915 Views
Ukichunguza kidogo utagundua kua biashara nyingi zinazofanikiwa ni za watu wakawaida kabisa ambao hata mambo ya biznes plan, demand and suply hawajui Ukitoa yale makabila ambayo asili zao ni...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Ni bara pekee tu ambalo ni Afrika, kama kichwa cha habari hapo juu. • Kwa nini huwa vina kwama au kufa mfano mmiliki akifa tu ndo kila kitu kimekufa mifano hipo mingi. • Kwa nini biashara za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika Kuunga mkono Kauli ya Raisi Wetu Mpendwa, Watanzania TukazeKamba Tuanzishe Viwanda vyetu. Kwa Juhudi ndogo niliyofanya nimeona kuwa kumbe TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA.
1 Reactions
4 Replies
820 Views
Habari wapendwa naomba mnisaidie kama kuna mtu alishawahi kuagiza bidhaa yoyote kwa kutumia App ya Alibaba msaada pls uaminifu wake ukoje na kama mzigo unafika kwa wakati anisaidie kujua
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna jirani hapa nilishangaa sana alipomuachisha chuo kijana wake akiwa mwaka wa pili, Huyu kijana alikuwa anasomea degree ya procurement, mzee wake akamwachisha kinguvu. Nikaja kujua kwamba mzee...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini. Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika. Shukran.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu, naomba kufahamu aina ya mashine inayoweza kuprint passports size tuu, Iwe ni portable inayotumia umeme kidogo na nzuri kwa anayefungua stationary au anayetembea na kupiga passports...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Rejea kichwa hapo juu Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu. Kuna mafunuo niliyapa na tayari nimeanza mchakato wa kukiandika kitabu. Natamani mwisho wa robo hii ya kwanza ya 2021 kitoke. Kinahusu umuhimu wa punctuality katika maisha. Sina...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimebahatika kusoma ripoti ya mabenki ya CRDB na NMB kuwa mwaka huu wamepata faida ya zaidi ya 200bn/- kila mmoja. Itakuwa ni vema sana kama sehemu ya faida hiyo ielekezwe kwenye gawio la wana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna makosa huwa yanafanyika ni ya kuto andaa wasimamizi wa Biashara pindi Mungu kaita. Succession planning kwetu ni msamiati mgumu sana, ni wachache wanao weza kuandaa. Wahindi na Waarabu...
0 Reactions
4 Replies
963 Views
Habari wana JF Hivi umewahi kujiuliza swali kwamba kwa nini WAHINDI/WAARABU wanapoanzisha biashara zao hapa nchini zinafanikiwa zaidi yetu sisi watanzania na wakati nchi ni yetu na fursa ni zetu pia?
5 Reactions
48 Replies
8K Views
For keen observers, the Indian community is fast rising to be a business behemoth in Kenya and East Africa take out Indian families from any major town and the economy of that particular region...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Kwa mfano wahindi wanaunda baadhi ya bidhaa za umeme wanasema kwa ajili ya Afrika tu...kama unavyoona hapo pichani....ina maana kuna kipi cha tofauti? Nani anaejua sababu wadau...nimekuwa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu naomba kujua nchi tatu bora ambazo unawezo kupata vitu kwa bei rahisi vitu kama nguo miwani kofia accesorise na biatu kwa bei ya jumla (za kwenda kusafiri )
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom