Habari wana JF, naombeni alie na uzoefu huu aliekeze hapa chini ;-
1).Je CEO wa kampuni vitu gani hasa ( vya siri ) anatakiwa apambane navyo ili kulinda kampuni yake
2). Ni vigezo gani matajiri...
Nilishaagiza Toyota Noah kwa lengo la usafirishaji wa abiria,Lakini sehemu ambayo nilipanga kuitumia naona zimesitishwa, yaani mpya hazitakiwi tena,
Sasa mm Gari ipo njiani toka Japan naombeni...
Wapendwa wote,
Nafanya utafiti kuhusu microfinance ya dar es salaam na Arusha.
Je, kuna taasisi maarufu inayohusika hasa kilimo?
Nashukuru kwa msaada wenu,
Asante
National Commercial Directory
Ukihitaji namba za shirika lolote lile la kiserikali na baadhi makampuni ya binafsi na hata mashirika yote ya kimataifa utapata hapa www.ncd.co.tz
Utapata:
-Namba...
Nadhani kwa wale wenye idea na mambo ya movie making wanaelewa ila lengo la kuanzisha hii thread ni kukutanisha watu wenye mawazo tofauti ya idea moja.
Na sio mawazo tu hata nyenzo(vitendea kazi)...
Kuna hii biashara ya maziwa hasa mtindi huwa inafayika pale Ubungo kuanzia alfajiri, hitaji langu ni kutaka kujua wale wafanyabiashara mzigo wa yale maziwa mtindi wanachukua wapi na kwa gharama...
Habari za muda huu wachakalikaji?
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, sisi kama watafutaji na wafanyabiashara wa mafuta ya kupima na kuwauzia wakaanga mihogo, samaki, chipsi na wengine...
Habarini za asubuhi wanajamvi,
Kama tunavyojua, maisha baada ya Korona imekuwa remote. Sites kama vile upwork, fiverr na PeoplePerHour zimeshika kasi katika kuajiri "digital nomads", na waajiri...
Habari Wakuu.
Nimekuwa nikifanya biashara ya Viatu vya mtumba simple za wadada na Raba kwa Dar ambapo Uwa nilianza kwa kupoint Hivi viatu soko la karume Alfajiri sana unajihimu.
Kwa sasa...
Mimi ni mteja wa hii kampuni kuanzia Tritel hadi kampuni kuuzwa kwenda Mobitel pia kampuni ikauzwa kwenda Buzz hadi leo hii kufikia kampuni kuitwa TIGO. Mimi yule yule nipo tu na hata namba ni ile...
Habari.
Naomba ushauri aise katika hili. Nataka kuanzisha biashara yangu binafsi ya genge mix duka. Mpk dk hii tyr 90% nimeshafanya nimekod fremu meza shelf tyr nimetengeneza na rangi safi nyeupe...
Habarini za muda huu nipo hapa mbele yenu kuna ndugu yangu anataka kununua gari aina ya IST ila anataka kuitumia kwa matumizi ya aina kuu mbili kwanza kwa safari zake za hapa ana pale pia kwaajili...
Kila siku tumekua tunasikia malalamiko kuhusu ajira.
Ni wakati sasa ukatiliwa mkazo wa kutafuta vipaji vya watoto na kuviendeleza.
Kwa kuanzia ziteuliwe baadhi ya shule na mitaala ya michezo...
Wakuu ajira imekuwa shida sana na inauma kuona mtu akiteseka sababu ya kukosa ajira. Mi nilikuwa na wazo kuwa zianzishwe centre za kufundishana huu ujuzi wa kitaani tulio nao ili mtu akiienda...
Habari wakuu.
Naomba yeyote mwenye biashara ya kutengeneza sabuni za mche hapa Arusha tuwasiliane anipe ujuzi.
Kama upo Arusha au una contact za mtu aliye Arusha naomba msaada wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.