Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wadau! Kuna ndugu yangu ana pesa ya zamani ya mjerumani maarufu kama rupia, sasa anataka kuuza! Je soko lake liko wapi na huwa zinauzwa kwa bei gani? Naomba mtaalamu wa mambo hayo...
0 Reactions
37 Replies
39K Views
Wadau; Mimi ni mmoja kati ya Watanzania wenye hamu kubwa ya maendeleo kiuchumi katika Taifa letu, Nimeskia kuwa Wakoloni wa Kijerumani wakati wanaondoka nchini baada ya kushindwa vita na...
4 Reactions
19 Replies
14K Views
Nilikuwa nahitaji vibali tu vy gari lake (commercial car) ambalo saiv mwenye nalo anatumia kwa shughuli zake binafsi iliniadd kwenye account yangu nitumie gari yangu wakati nasubiri vibali vyangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ripoti ya Mtazamo wa Uchumi wa Dunia iliyotolewa hivi karibuni na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) imekadiria kuwa, uchumi wa dunia utakua kwa asilimia 5.5 mwaka 2021, ikiwa ni asilimia 0.3...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hivi kwenye biashara hizi za mitandaoni kama ulilipia fedha mfano nusu ya gharama alafu muuzaji hajakupatia hiyo bidhaa na hata pesa anasumbua kurudisha, ni hatua gani mnunuzi...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Sijawahi kuwaza kwamba itatokea siku moja mfanyabiashara wa kitanzania kuwaza kuwekeza nje ya nchi. Anyway ndivyo ilivyo na itabidi! Wadau wa biashara ambao pia hua mnakua na updated news za...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Kwa dhati kabisa niseme pesa zipo nyingi sana kama utafahamu tu namna yakuzipata. Ngoja nikwambie kitu. Kwa muda mrefu nimekuwa nikichunguza na kujaribu mbinu tofauti zakuanzisha...
12 Reactions
37 Replies
11K Views
Wadau suala linanitatiza. Mwenye kujua, je App ya KiKUU ni bora? Ufanisi je? Msaada wakuu
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tafadhali wadu , yoyote mwenye uzoefu WA online shopping Kama kikuu , napenda kujua je ninwakuaminika? Na je wapo Tanzania au nje ya Tanzania. Na wanaposema free shipping wanamaanisha ni. . je ni...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Samahani Wana JF, nimekuwa na uzoefu kidogo na kuagiza bidhaa China kupitia Kikuu App. Wana kasoro kadha wa kadha, mfano kuchelewa kufikisha kwa baadhi ya bidhaa, ufinyu huduma kwa wateja...
5 Reactions
198 Replies
37K Views
Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki, Mimi ni kijana mtanzania ambeye ndoto zangu kuu ni kufanya biashara punde nitakapo maliza kusoma (mwakani). Sasa nashindwa kujua nifanye biashara gani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) ni Taasisi ya serikali muhimu sana katika uchumi wa nchi hii kutokana na majukumu uliyo nayo sahihi na yatakayo ongeza baadaye. Kwa umuhimu wake kwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za wakati huu; Leo nataka nizungumzie jambo tata sana ambalo wengi hukutana nalo ingawa hawajui kama ni tatizo.Jambo hili linahusu uhusiano uliopo kati ya afya yako ya akili na mafanikio...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta eneo la kuuza juice ya miwa,nina mashine na banda na kila kifaa kinachohitajika hivyo natafuta eneo. Likiwa Tabata segerea stand itafaa zaidi Ni lazima kuena mzunguko mkubwa wa watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Fanyeni utaratibu tuweze kununua umeme kama vocha za simu na kuingia moja kwa moja kwenye mita.kwa kuwa mita namba inaelekea hili inawezekana kabisa enzi hizi za digital
0 Reactions
3 Replies
638 Views
Habari wanajamvi! Kuna mtu ameniomba nishirikiane naye kwenye biashara ya uwakala/udalali wa tunu za kale na kwa maelezo aliyonipa ni kwamba tunu hizo za kale ni mali zilizoachwa na wakoloni kama...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Wakuu nitaenda haraka kwenye point Nilikua nahitaji kujua hatua za kufungua biashara ndogo tu ya ujasiriamali, nimepata kaeneo kando kando ya barabara. kuna mtu anaweza kunipa hatua zote za kufata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu.. Nimepatwa na matatizo makubwa sana ya kifamilia, kiasi kwamba nimemaliza akiba yote niliyojiwekea bank. Nina shida ya haraka na mkopo wa TZS 350,000/=. Nitazirejesha Kwa riba ya...
4 Reactions
50 Replies
41K Views
Printer izi za kutoa picha/Karatasi had ukubwa wa A4... Printer yangu ni Canon Niliponunua nilipewa na wino sasa umeisha nimeenda kununua wala cjaulizwa wa Printer gani nikapewa....Nilipofika...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jF, Mwenye kujua zinako uzwa, au anauza anisaidie tafadhari
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom