Habari:
Nimekuwa nikifuatilia bidhaa nyingi kupitia social medias za wauzaji (kama facebook & Instagram).
Nilichogundua wabongo wengi hawaandiki location walipo na bei ya bidhaa zao wanaficha...
1.Mwendo wa soko ;)
Soko la cryptocurrency kwa kawaida lina kasi kubwa au mzunguko mkubwa kulinganisha na forex
kwa mfano bitcoin inaweza kupanda bei kwa lisa na kushuka bei kwa lisa,hivyo basi...
Wakuu hope mnaendelea vizuri
Kuna mdogo wangu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kazi, mwaka huu alitamani aende ila mambo yamebuma
Nina kiasi cha laki 8 nataka...
Wakuu hope mnaendelea vizuri
Kuna mdogo angu wa kike alimaliza chuo na sasa amemaliza almost miaka 3 kitaa bila Kaz ,mwaka huu alitaman aende jkt ila mambo yamebuma
Nina kias Cha laki 8 nataka...
Habari za wakati;
Watu wengi sana wana ndoto za kuwa wafanyabiashra na wajasiriamali.Leo nataka nisisitize jambo moja la muhimu sana ambalo kila mjasiriamlai tarajali anapaswa kulifahamu na...
Habari wajumbe!
Leo nimeona niongelee hili suala la tabia ya watu kujijaza dukani hasa wakati wa usiku na hawanunui kitu inavyokwamisha biashara.
Mimi kama mteja nimeshawai ahirisha kwenda...
Tafadhali kwa yeyote anayejua au anao uzoefu wa gharama za uchimbaji wa visima naomba anielezee mchanganuo wake akijumuisha na gharama za uchunguzi (surveying) eneo nilipo ni Mbeya km 8 kabla...
Wakuu ,habari
Naomba ambae anajua jinsi ya kupokea pesa toka Europe kupitia worldremit, yaani vitu muhimu ambavyo natakiwa kuwa navyo, mfano account na vingine vya msingi mpaka napokea pesa...
Ninaposema wenye pesa zao, nina manisha mitaji mikubwa.kuna watu wana pesa hawajui ni biashara gani ya kuzifanyia wanakimbilia kuziweka kwenye fixed account na kuambulia riba ya asilimia 11...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kujenga Taifa Mana wazee tunapambana paka inafikia muda unasema sijui niende kigoma kucheki nyota kwanza[emoji16]
By the way nilikua na mission za kununua...
Naomba msaada, ile TIN number ninayotumia kulipia road licence naweza kuitumia kwa biashara nyingine. Na je nahitaji kufanya kitu chochote huko TRA kama kujaza fomu etc kabla ya kuitumia kwa biashara.
Greetings!
Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikuonyeshe biashara au niseme side hustles unazoweza kuanza right now ili utengeneze pesa online. Binafsi nazitumia side hustle hizi na si blah blah...
Mambo yamepamba moto kweli kweli ufanisi umeongezeka. Baada ya South Africa kuanza pitisha mizigo ya TZ sasa itafuatia Kenya, Msumbiji, Somalia n.k tuendelee kufanya kazi kwa style hii hii.
Miye ni mjasirialmali mwenye hamu ya kujikwamua kiuchumi. Naomba kujua yafuatayo kuhusu kodi ya mabango ya matangazo ya biashara:
1. Ukiweka bango kwenye Barababa, kwa mfano ya Sirari - Mwanza...
Hii ni mada mpya kwa ajili ya wajasiriamali katika mwanzo wa mwaka huu mpya.Katika mwaka 2020 nilifanikiwakufanya kazi na wajasiriamli 79 ambao walikuwa na mahitaji tofauti.Kati ya hao wote...
Wadau sana, habari zenu?
Naomba kuuliza, kama mimi ni Consultant/Mtalamu nafanya kazi zangu na mashirika yasiyo ya kiserikali na napata angalau kamkate ka nyumbani, wale wanao nipatia kazi...
BOT and TRA can parsue the following proposal to increase efficiency,transparency and ensure that we are going to spend public fund prudently
1. Each department within the government - police...
Changamoto wanayokutana nayo wafanyabiashara ni kutokulipwa madeni yao kwa wakati na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko, wengine wanakopa wanakaa na hela mpaka mwaka.
Na si kwamba hawana uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.