Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini wakuu?? Naomba kujua bei ya compressor ya kawaida ya Kujaza upepo ni shilingi ngapi? Dukani?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Siku 5 baada ya Elon Musk kutangazwa kwa mara ya kwanza kuwa mtu tajiri zaidi duniani baada ya share zake katika kampuni ya magari ya umeme kupanda kwa 4.8% na kufikisha utajiri wa $186bn na kukaa...
3 Reactions
110 Replies
9K Views
Habarini! Kama kichwa cha habari kinavyojitambulisha kwenu business minded people, nimevutiwa na hii opportunity ama idea ya kua big distributor wa bia( kama sio nchini basi nje ya nchi)...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu Wana jukwaa naomba kupata ufafanuzi Kama kuna watu wa Tra humu ndan. Kuna taarifa zinazosambazwa na maafisa wa TRA kuwa inatakiwa kufika kwa watu waliokuuzia mashine ili wakaiprogram...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimesikia kuhusu fixed account za nmb hivi ni kwamba ukisha jaza izo fomu pesa inaondoka kwenye account au itabakia humo na hauta weza kuifanyia matumizi
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Najua una shauku ya kuwa MJASIRIAMALI mwenye mafakio. Lakini je, unazo sifa za kukuwezesha kufanikiwa kama MJASIRIAMALI? Baadhi ya sifa zinazo mwezesha MJASIRIAMALI kupata mafanikio ni kama...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habar z jioni, Nina uhitaji wa kupata kibanda cha kufanyia huduma za mpesa na tiGo pesa ikiezekana kiwe na nafasi ya kuuzia vivywaji barid kwamaeneo ya Mbezi standi. Kama una connection...
2 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari za leo wakuu, Leo nimerudi tena and hopefully tutakuwa pamoja kuendelea kujifunza kuhusu social media marketing and advertising Leo nataka nishee nanyi jibu ambalo nililitoa baada ya...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana Jf Dah hivi kuna mtu ana connection ya watu walioko china wanaoagizwa mizigo?. Na je nikitaka kuagiza mzigo mfano pochi za kina dada na mazagazaga mengine kama hayo natakiwa kuwa na...
1 Reactions
49 Replies
17K Views
Marafiki wa kufanya nao tathmini ya bei ya mazao katika Wilaya na Kata walizopo za nchi nzima ili tuweze kusaidiana kujua bei za nafaka samaki wabichi, na dagaa wabichi pale alipo na tutakuwa tuna...
4 Reactions
55 Replies
10K Views
Msaada namna naweza pata barcode.muhimu
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wadau napenda kujua kwawale wajuzi na wazoefu wakununua mazao hasa ya biashara kutoka kwa mkulima na kuwauzia walaji na wahitaji. Napenda kujua Sana kuhusu KITUNGUU, tikiti, tangawizi na...
1 Reactions
19 Replies
27K Views
Habari wakuu. I trust you are good. Nipo hapa kama kawaida ku-share maarifa yatakayokuongezea VALUE kwenye life yako. Hasahasa namna yakuona opportunity na kuzitumia kwa faida. Kwa kuanza...
11 Reactions
16 Replies
2K Views
Benki ya CRDB imezindua kampeni maalumu ijulikanayo kama “Jiachie Utakavyo” ambapo wafanyakazi wa sekta ya umma na binafsi sasa kufurahia riba ya hadi asilimia 14. Akizungumza katika mkutano na...
4 Reactions
36 Replies
6K Views
Moja ya vitu ambavyo vinawapa Adavantage Wahindi zidi yetu ni swala la Usimamizi wa Biashara. Muhindi akianzisha Kijiwe cha kuchoma Kuku atakuwepo pale intact yaani sio aanzoshe then aanze kupiga...
52 Reactions
117 Replies
11K Views
Wadau JF, Mnalionaje hili, sasa hivi kuweka pesa yako benki unajitakia umaskini. Jamaa wa TRA kiulaini wanakuja kuichota kama vile ukakasi wowote ni mali yao. Kutumia benki kwa malipo halali...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Samahani kuwa nje, Nauliza hivi kuhamisha hela benki CRDB kutoka akaunti moja kwenda akaunti nyingine( mtu alipata overpayment) hivi inaweza chukua muda gani? Anayejua🙏🏿🙏🏿
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wenye uelewa Wa biashara ya retail na kufanya investment analysis wanaweza kunipa tips ,eneo gan linafaa kujenga mall kubwa ya kisasa kwa kibaha kwa kuzingatia high way ya lane 12 ya Kimara...
2 Reactions
30 Replies
8K Views
HABARI WANA JF! kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Natafuta wahusika wakuuza hoteli au mteja wa kununua hoteli kwa Tanzania. Hivi process ipoje kuwapata wahusika hawa. asanteni. kwajiji haswa la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Biashara gani unaweza kufungua Kariakoo ya millioni 20 Tsh wakuu provided fremu ipo na kodi ya fremu ipo.
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom