Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Yaani ukiona biashara flani inafundishwa sana kwamba watu wengne wafanye ujue haina hela hiyo. Hata kama ina hela bas ni vijihela We ushawai waona wahind au waarab wanahangaika et mitandaon...
18 Reactions
52 Replies
8K Views
Habari ya Asubuhi. Nina kazi inayohitaji watu wengi wa kufanya mauzo, ninatafuta watu binasfi au kampuni za kushirikiana nazo, dhamira ni kufika Tanzania nzima hivyo ningependa kupata washirika...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wakuu. Naomba kujua Bei ya taa za nyuma ya tv "backlight"wanauzaje dukani? Aina ya TV ni Zec nch 32 Natanguliza shukrani.
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Habari ya leo, naomba msaada kwa mwenye uzoefu au anaemjua mwenye uzoefu, anisaidie uendeshaji mzima wa biashara hii ya michemsho na supu, Kwa mawasilino zaidi 0753348841
0 Reactions
6 Replies
927 Views
Wakuu habari zenu, mimi kijana wenu nimesoma na nimemaliza shahada last year ya Ununuzi na Ugavi (Procurement & Supply) Kutokana na changamoto za ajira wengine hatuna koneksheni na umri unakwenda...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Habar za wakati huu memba mwenzangu,ndugu,jamaa, na mwana jamiiforum mwenzangu. Natumai wewe unayesoma ni mzima wa afya na unaendelea vyema na shughuli zako na Mungu akutie nguvu kwa kila ufanyalo...
0 Reactions
39 Replies
27K Views
Niende moja kwa moja kwenye point kama heading inavyojieleza. Lengo la hii thread ni kuomba wajuzi wa hii biashara tushauriane. Nimeanzisha biashara ya kuuza kitimoto Dar maeneo ya Kibamba njia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu, mimi bado ni mwanafunzi ila natarajia kumaliza masomo yangu ya diploma mwezi huu Nina miaka 18 ila natamani sana nijiajiri nifanye biashara naamini itanitoa nawaza mtaji wa...
6 Reactions
99 Replies
15K Views
Unakuta mtu ameajiriwa na analipwa not more than 1.2 millions Tshs per month. anakudharau wew mwenye mradi unaokuingizia not less than 3 millions per month. Kumbukeni wengine tumesoma kama nyinyi...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu niliagiza mzigo wangu wa simu tarehe 22/09 tarehe 23/09 ukatumwa kuja tanzania kutokea china. Juzi nilihofia kupoteza nikaandika na uzi humu Nilitumiwa kwa njia ya posta mzigo...
17 Reactions
151 Replies
28K Views
Hivi wakuu hizi sayona juisi ni organic kweli, jee ni kweli kwamba ni embe? Maana wengine wanasema ni chemical tu zile hakuna cha embe wala nini huku wengine wakisema ni embe kabisa na ni juisi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilishatoa hili sijui mwaka juzi...narusia tena HILI LINAWAHUSU ZAIDI WIZARA YA UTALII, WIZARA YA AFYA, PAMOJA NA UHAMIAJI Napendekeza kila tangazo linalotolewa liwe kwa Lugha mbili; Yaani...
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Habari za humu Watanzania? Samahani nimeingia kikuu ili kuona kama kuna kitu naweza kuchukua ila kuna vitu sijavielewa vizuri ni kuhusu hizo voucher sijaelewa kabisa zinakuwaje kuwaje? msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekutana na hivi vitu: Foreign company Private company Limited by guarantee Private company Limited by shares Public company Limited by shares Unlimited Private company Sina uzoefu na usajili...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Habari wana janvi? Naomba kupata ABC za kuuza ng'ombe pale mnadani Pugu. Naomba kujua mtaji wake, upatikanaji wake, usafirishaji wake, vibali, jinsi ya kuuza, changamoto zake na faida...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Nimefatilia kodi za tra kwa magari yaliyotumika zimeongezeka ghafla, je huwa wanatumia utaratibu gani. Hii itawalazimu watu wengi kuacha magari yao. Kama umeagiza gari ni vema ukaangalia tena...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu naomba mnijuze faida na changamoto za biashara ya kuuza chakula cha kuku.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Heshima kwa wapambanaji wote! Itoshe kusema itifaki imezingatiwa, na kwa heshima kubwa, napanda jukwaani nikilenga kujadili hili jambo la Export business! Kwanza, hapana shaka kwamba Tanzania &...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Sasa sijajua kama hapa ndo pa kupaleta, lakini najua makampuni are sensitive to citizen journalism, so acha niseme tu. Of late nikipiga simu kwenda namba ya vodacom via my vodacom line, ujumbe...
0 Reactions
3 Replies
859 Views
Back
Top Bottom