Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu habari zenu. Lagrangian nimerudi tena kwenu nkiwa na shida tajwa hapo juu. Niliwahi kuja na bandiko la kutafuta mzalishaji na msambazaji wa Sabuni za Magadi za Kigoma zile za mawingu...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Nina mpango wa kuleta hizi kitu bongo siku za usoni,nani mwenye uelewa kwanza wa kodi zake kwa moja moja,au kwa container la 20ft au la 40ft kwa piki piki za aina hii used, na je soko lake bongo...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari, wanajamii? Kuna wazo moja ninapenda nililete kwenu nikitumai kubadilishana mawazo nanyi. Kuna huu mfumo, uliojiimarisha hasa katika nchi za magharibi, wa kujisomesha kwa kufanya kazi au...
1 Reactions
0 Replies
735 Views
Wana uchumi salama? Naomba msaada wa kupata eneo zuri nataka nifungue biashara ya vinywaji na chips. Naomba connection kwa mtu yoyote wa kunisaidia hata madalali nipate eneo zuri lenye watu wengi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu mwanajukwaa. Ninampango wa kufungua duka la dawa za mifugo pamoja na vyakula vyao. Sasa napata changamoto kuzijua sheria zinazonipasa kufuata. Ikiwa ni lesen na vyeti je...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Magufuli hana mchezo, kwa wale wanaojua kizungu. Chinese firms involved in money laundering racket face the music in Tanzania New Delhi: Chinese involvement in money laundering has been growing...
1 Reactions
2 Replies
801 Views
Wakuu habari zenu mimi nipo Arusha ila nilikuwa nataka nianze biashara ndogo ndogo nilikuwa nataka nianze kuuza apple kuwafata wateja mahali walipo maana yake kutembeza. Sasa nilikuwa nataka...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu wananchi, nikiwa Tanzania nnaweza kuwekeza kwa kununua GOLD COINS? Kama zinapatikana, ni wapi?
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau wa biashara na wajasiriamali wenzangu. Mimi ni kijana mpambanaji mwenzenu katika harakati za kusaka chochote nimekutana na mdau ameniwezesha kupatikana mashine ya kutengeneza juisi ya...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Unatarajia kupata nini hasa kwa kuwa mjasiriamali? 2. Unatarajia kukipata lini hicho unachokihitaji? 3. Utahitaji nini kufanikisha ndoto yako? 4. Utajuaje kwamba umefanikiwa kuiishi ndoto...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Yawezekana umefuatwa na watu wengi ambao kimuonekano kuanzia mavazi, simu, viatu, na magari ulishawishika ukadhani naweza kutengeneza pesa haraka kuliko kawaida. Inakupaswa ujiulize mambo haya...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Kua wakala wa kukatisha tickets za kwenda kucheki mechi viwanjani nini vigezo na masharti. Nataka niwe wakala. Asantee
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nime-misplace Leseni yangu sasa nataka nipate TIN bila kwenye ofisi za TRA Je, inawezekana?
0 Reactions
26 Replies
89K Views
Kwa wale wahenga mtakumbuka tulikuwa tukifundishwa juu ya aina za wanyonyaji, tulifundishwa juu ya makabaila na mabepari kwa ni wanyonyaji ambao kimsingi ndiyo wafanyabiashara. Walifaulu vizuri...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Sijui niseme nini wakuu lakini kwanini Kariakoo ndo nyumbani mwa fake products?Mlikua mkisema humu nikapuuza nikaona mnaongea tu kweli nimeamini kariakoo asilimia kubwa ya Bidhaa ni feki Simu...
10 Reactions
61 Replies
47K Views
Habari wakuu mimi ni mhitimu wa chuo kikuu lakini swala la ajira limekuwa gumu, katika kujitafuta kwangu nimepata laki sita za mtaji. Naombeni msaada wa mawazo nipate kuanzisha biashara yoyote...
4 Reactions
66 Replies
10K Views
Habari ndugu zanguni! Elimu ya leo nikuhusu namna ya kupata wateja 440 – 1,300 kwa siku,hawa ni wateja wanao ona bidhaa zako unazo uza au huduma unayotoa. Wateja hawa 440 – 1,300 ni wateja ambao...
28 Reactions
90 Replies
17K Views
Habari za muda huu, Kwa taarifa niliyoipata ni kua serikali imeanza kupokea maombi ya wafanyabiashara wanaotaka fremu za stemdi mpya ya mabasi Mbezi Luis. Je kuna mtu yoyote anaejua hayo maombi...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Inasikitisha kuona viwanda vikifungwa na kugeuka magodown, viwanda vingi maeneo ya njiro vimefungwa, huku mamia ya watu wakikosa ajira, Kwa mfano kiwanda cha general tire kulikuwa na dalili za...
0 Reactions
6 Replies
826 Views
“Kweli natafuta na napata… lakini fedha hazitoshi kabisa…”. Hizo ni kawaida kuzisikia kauli hizi katika maisha ya kila siku ya watanzania wengi hususan huku uswahilini kwetu ambapo wengi tunafanya...
20 Reactions
47 Replies
27K Views
Back
Top Bottom