Habar za uzima wana JF,
Naomba kwa mwenye elimu au uelewa juu ya biashara hii ya kufungua online shopping mall ndani ya Tz naomba anipe maelekezo hapa .
Mfano wa Online Shopping mall...
Habari za krismas wanandugu jf.
Kama ilivyo ada mdogo wenu nipo kwenye harakati za kuijenga kesho, nahitaji wajuzi wa kuniangaza zaidi ya hapa nilipoishia kuona. Alhamdulillah mdogo wenu napata...
Ndio nataka kufungua ofisi ila nahitaji ushauri na kunielekeza pa kuanzia, usajili brela nina fahamu pa kuanzia ila sasa taratibu zingine mfano nini cha kufanya kama kuwa certified na TRA na...
Ushauri naomba ndugu; mtaji ni 1.6m nimefikiria kuanza uwakala wa gas naomba ushauri labda nini tofauti na uwakala wa gas naeza fanya kwa maeneo ya Kigamboni.
Wale wazee wa kubet nipeni ushaur hapa nataka kutumia 500k kwenye betting weeknd hii lengo nipige 10m najua inawezekana.
Je, ni betting (campun nzuri kwa kubetia?) na nitumie option zipi ambazo...
Habari wadau!
Hii nchi watu hawaishi vituko, wakati serikali ikisifia kwamba mwaka huu tunaingia katika sikukuu huku mfumuko wa bei ukiwa umeshuka.
Lakini kuna vichwa maji wanaamua kuleta...
Hakika kuna kupanda na kushuka.
Sikuwahi kuwaza kama leo K-Vant atamkimbiza Konyagi kiasi hiki.
Mmiliki wa K-Vant alikuwa QAM wa Tanzania Distilleries ltd (konyagi). Baada ya jamaa kufanya kazi...
Nakubali kuwa transaction za mitandao ya simu iko convenience sana ila haya makato yao sio rafiki kabisa ni kama wanatukomoa yaani.
Ni bora ku transfer pesa kwa account za kibenki ndugu zangu...
Nilijiunga na huduma fulani ya ku host website bure kwa hostinger.co.uk. Wakanipa. Sasa nafanya upgrading kupata huduma bora zaidi. Nikatakiwa kulipia pauni za UK kama 15. Nimejaribu kulipa kwa...
Nimepata tenda ya kupeleka chakula shuleni. Nimeenda Shamba kununua nafaka nikalipa kodi. Nilipopeleka nafaka hiyo shuleni wakanipa pesa ambapo waliniomba risiti ya efd nikatoa na kukatwa kodi...
Habari zenu
Makala hii naileta ikiwa katika muundo wa swali ambalo kama jamii na wenye mamlaka pia wanapaswa kujiuliza na hatimaye kutafuta njia sahihi za kuifanya jamii ione na iamini ya kuwa...
Watu wengi walipokuwa wanakutana na Albert Einstein jambo la kwanza walikuwa wanamuambia...
“Einstein, Mungu amekujalia akili nyingi sana, wewe ni Genius”.
Siku moja alipoambiwa hivyo akasema...
Watu wengi wakisikia neno Almasi, wanawaza pesa, madini yale ya thamani magumu kabisa. Na watu wengi hawajui kwamba nyundo inaweza kupasuapasua vipande vipande almasi. Diamond is the hardess...
50/30/20 Hii Ndio Njia Rahisi Zaidi ya Kupanga Bajeti Yako.
Njia hii ilianzishwa na Seneta mmoja Marekani jina lake anaitwa Elizabeth Warren.
Elizabeth Warren alisema kwamba unapopanga Bajeti...
Habari wakuu,
Mimi nilikuwa na TIN toka mwaka 2011 na biashara ile sikudumu nayo hata mwaka kwa hiyo leseni ya biashara na tin yake vikawa vimeishia hapo, kipindi kile nafungua biashara makadilio...
Ndugu zangu naombeni muongozo wa online shopping nzuri from Dubai kwa ajili ya vitu vya jumla.
Maana naona kuna wadau wengne wapo humu ni kama vile wajanja wajanja hivi.
Kwa wale mlionibeza baada ya kushusha uzi wa Q NET hapa nafikiri mmeona mambo yaliyotokea. Hizi Ponzi Scheme zinakuja na ahadi nono za kitajiri na watoa masomo walishajua watanzania tukoje.
Sasa...
Wadau naombeni ushauri
Nimepata wazo la kumfungulia duka la urembo mke wangu ila nataka akajifunze kufanya makeup na kusuka location ya kujifunza = Kariakoo (kama nitaambiwa location nzuri zaid...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.