Habari za jioni wana JF
Kwa heshima na taadhima nimeamua kuwa Mjasiliamali.
Ni kwa kipindi cha miaka 4 sasa nikiwa kwenye ajira ya makampuni,nimekuwa mtumishi mwema kwa kipindi changu chote na...
LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.
Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanaotaga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia...
Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu.
Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua...
Jamani mwenye elimu ya kutosha juu ya uanzishwaji wa biashara ya ukandarasi anifahamishe nataka kuanzisha biashara hiyo nina kama TZS. 12m, mchakato unakuwaje? Thanks in advance.
Mimi kijana wa Kitanzania mwenye umri kamili wa miaka 26, mwenye Degree moja ya Procurement, ni mjasiriamali wa biashara ya chakula, Matunda na Forex ..lakini bado naitaji kuongeza kitega uchumi...
Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za watu wanaoandika ama kujinasibu wanafanya forex humu JF kwa takribani miaka 4.
Nimekuwa nikigundua falacies nyingi sana (uwongo) na upotoshaji lakini ni moja...
Habari za jioni wakuu napenda kujua utaratibu wa kufuta leseni ya biashara nataka niifute ili nifanye biashara bila leseni kuepuka gharama za kikokotozi cha TRA ,
Najua tupo wengi tunaotaka...
Ninataka kuanzisha genge mtaani kwetu lakini liwe la kijitali. Liwe kwenye frame kubwa, bidhaa ziwe zimepangwa vizuri, mhudumu awe msafi kabisa.
Kila kinachouzwa kiwe kimesafishwa. Bei ya bidhaa...
Ndugu zangu, kwa uzoefu wangu nimegundua Vietnam wana nguo nzuri sana (kike na Kiume) na bei zake pia ni nzuri.
Natamani sana kufanya biashara ya kuuza nguo kutoka huko. Naomba kwa wenye uzoefu...
Habari wana Jf,
Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar.
Nilikuwa naomba.
1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na...
Ukipata fremu Karibu na shule Basi uza vitu pendwa kwa watoto Mimi mwenyewe nafanya biashara hio ni nzuri Sana kwani watoto kamwe hawatakukopa wanapewa hela Kuna chocalate kibao km shaped...
Habari wakuu. Mimi si mtaalamu wa business lakini Tanzania tumeanzisha commodity exchange na nimesoma kuwa imeanza kazi mwaka jana mwezi wa kumi. Jambo zuri sana.
Commodity exchange ni eneo au...
Kuna bidhaa nilikuwa nataka kuinunua siku si nyingi Aliexpress na kuna hela nilikuwa naisubiri ili niship kwa DHL au Fedex.
Lakini naona kuanzia leo wameweka Discount kubwa sana ambayo inalast...
Hello, napenda kuuliza kwa mtu mwenye kuelewa juu ya AIM GLOBAL Hawa watu ni kweli wanaweza kukusaidia kupata kipato cha ziada kupitia biashara za bidhaa zao au ni janja janja?
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kama kijana mtanzania mwenye naono ya kufika mbali mno kimeisha na kupata kipato cha Halali mkono ili uende kinywani. JamiiForums ina watu wenye maono mbalimbali...
Naomba mwenye uzoefu na biashara ya uwakala wa bank na huduma nyingine za kifedha kama M-pesa nazingine naomba kujua mtaji wa kuanza nao na makadirio ya faida ambayo hupatikana kwa mwezi.
Tulizoea miaka mingi kwamba barabarani kutawaliwa na SCANIA, lakini cha kushangaza zaidi Mchina kaja kufanya mapinduzi ya haraka sana kwenye mabasi ya mikoani.
Jana nilitoka zangu morogoro nikawa...
Copy and paste
Sunday news 👋🏽 ya kuanzia siku 😂
Serikali ya mahodari inaendelea kupaiza uchumi! Sasa kuna soko la magendo (haikuanza leo ilianza 2018 walipopora fedha na kufunga maduka ya fedha)...
Chato miaka kumi inayo kutakuwa hot cake, referral hospital inamaana wakazi wa Geita wenye wagonjwa Chato watatafuta sehemu za kulala.
Stadium Kukawa na match lazima guest house na hoteli zijae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.