Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Hizi mashine eti zinajaa na ikitokea hivyo unanunua kwa bei ile ile ya karibu ya milioni. Ajabu ni kuwa mashine hizi zinazotumiwa na TRA kukusanyia kodi haziendi hata miaka 3 kujaa kwake na hasa...
13 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari za leo wanaJf. Nilitaka kuwekeza kwenye moja ya viwanda vya kuzalisha bidhaa lakini nikashauriwa kuagiza bidhaa iliyokamilika kuifungasha na kuuza. Na nikajuzwa kuwa wafanyabiashara wengi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limepata kibali cha kufanya safari kwenda Uingereza (msimu wa baridi 2019) katika Uwanja wa Ndege wa London Gatwick kwa mujibu wa Live From A Lounge. Safari ya...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu zangu, niende moja kwa moja kwenye mada yangu, baada ya kutafuta kazi muda mrefu mpaka nikahisi nimerogwa pasipo mafanikio yeyote yale, hatimaye Mungu akaniona nikapata kazi kwenye mradi...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Nahitaji kupata namna ya kusafirisha vitu vya ndani kutoka Dar kwenda mkoani Kagera, naweza pata kampuni gari ya usafirishaji au mtu anayehusika ambae gharama zake si kubwa.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello JF Members, Natumaini wote mnaendelea vizuri, katika afya ya akili na mwili, naomba niende moja kwa moja kwenye mitizamo yangu miwili ambayo nimekua nikisoma sana threads za biashara na...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau hivi mtu akiwa na hisa hizi ambazo tulikuwa tunauziwa kwenye makampuni kipindi cha Mkapa anaweza kuziuza kwenye soko la Hisa? Utaratibu unakuwaje? Naomba msaada kwa anatejua utaratibu!
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Gongo ni kiswahili cha spirit. Duniani kuna aina nyingi sana za mianzi. Mianzi inayopatikana Africa kwa wingi inaitwa Oxytenanthera abyssinica. Hii ni mianzi ya kipekee sana kwa sababu mbili...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Niaje Bandugu Naulizia maduka ya electronic yaliopo Zanzibar yanahusika na uuzaji wa laptop yako pande zipi hapo zenji town. Nategemea kwenda zenji this weekend kwa hiyo natamani kupitia kwenye...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu! Kwa muda sasa nimeka nikagundua humu JF kuna tabia za kuigana sana.kuna hii biashara ya mtandao ya forever living kila ikitajwa humu imekuwa ikirushiwa makombora with a lot of...
5 Reactions
92 Replies
17K Views
Solarwind washerekea kutokudukuliwa kwa miaka 11 kwa kuweka bango lao kwenye NewYork Stock Exchange. (Business software manufacture) Kampuni ya solarwind ilianzishwa 1999 ambapo mpaka sasa ni...
1 Reactions
0 Replies
999 Views
Habari. Leo nimekuja na Nada tofauti kabisa. Nina mtaji wa 1M nahitaji kuomba leseni ya ufundi umeme wa majumbani na viwandani. Sijafahamu taratibu za kusajili kampuni, kuwa na Tin number na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilishtuka baada ya kuona maji ya kunywa ya Canadian pure (1.25ltrs) yakipanda bei toka shs.500/= hadi 700/=. Pia nimeshangaa kuona maji yakibandikwa label ya TRA kwa kuu kwenye kizibo kama...
9 Reactions
86 Replies
13K Views
Asalam aleykum jamiya Nataka kuanzisha kajishughuli kadogo ka nyumba ka utengenezaji wa vipodozi vya akina dada vitumiavyo matunda na mbogamboga na visivyo na kemikali kwa utaalamu adhimu na wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau wa JF, Mada tajwa yajieleza, kutokana na kuwa na Mlipuko wa ugonjwa wa Corona na kupelekea kwa baadhi ya watu kutpoteza vyanzo vyao vya fedha na kama wanapata fedha sio kama hapo...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Wakuu naomba kuuliza, Karibu miji yote mikubwa kuna wafanyabiashara ndogo ndogo wananunua fedha chakavu na dola chakavu. Hizi fedha wanapeleka wapi au wanafanyia nini?
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakuu naomba kupata msaada wa taarifa kama kuna mdau atakuwa anafahamu kama inawezekana kusafirisha dagaa wa ziwa Tanganyika(huku kwetu Tz jina maarufu dagaa wa Kigoma) kutoka Bujumbura au eneo...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wafanyabiashara hasa waliopo Mkoani na kugundua kuwa hili limekua tatizo sugu linalowakwaza watu wengi. Hupelekea watu kuondokana na Imani na biashara za...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa tsh 100,000 naweza kufanya biashara ya viatu,sendo za wadada? 1. Nahitaji kuanza kufanya hii biashara kwa kuanzia na mtaji wa laki moja tu. Nipate viatu, sendo, simpo za wadada au wakaka...
2 Reactions
30 Replies
18K Views
Wakuu nawaombeni msaada kujua kama hii kampuni wanaaminika kwenye kuuza na kusafirisha hayo matreka. Niliona trekta la kunifaa kwenye website yako, gharama zote including usafirishaji nililipa...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom