Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za asubuhi wakuu. Kwa Tsh 200,000 ninaweza kufanya biashara gani ambayo inaweza kuniingizia faida ya Tsh 10,000 kwa siku. Mahali: Dar es Salaam.
2 Reactions
18 Replies
6K Views
LIPA KWA M PESA Habari wana JF, Naomba kuuliza laini ya LIPA kwa M PESA inauwezo wa kuchukua milioni ngapi hadi kufikia ukomo wakupokea tena miamala. Je naweza kuitumia laini hii kama-bank...
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Wanajukwaa kwanza habari za muda huu. Aisee wazo la biashara kwangu limekua kizungumkuti nimewaza beyond the limit yaani hebu mwenye anaweza nipa wazo zuri la biashara maeneo ya Arusha ambayo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za mida waungwana? Nilifanikiwa kufungua kampuni inayojihusisha na masuala ya uhamasishaji wa kilimo cha biashara (mazao ya biashara) kwa wananchi/wakulima, kutoa elimu juu ya uzalishaji...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika kuwaza waza leo nilikua nakunywa maji yangu ya Kilimanjaro madogo ya 500ml wakati nimekaa zangu ofisini hapa sina kazi nikawa nimeishika hii chupa naisoma naipembua sioni utofauti wa...
5 Reactions
76 Replies
12K Views
MSAADA TAFADHALI Samahani waungwana naomba kwa anayejua ule mfumo unaomwezesha mfanya biashara kujaza bidhaa zinazoingia dukani na zinazotoka ili kujua biashara yake inaendeleaje hata kama yeye...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana jamii! Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi Niliwahi kupita hapa nikauliza juu ya biashara tajwa. Nashukuru nilipata ABC's zake. Biashara ya Coin Betting maarufu kama 'Bonanza la Mchina' Nilijaribu kufuatilia kampuni 1...
5 Reactions
41 Replies
11K Views
Habari wakuu, nimekua nikijiuliza sana kwanini utunzaji wa hela za kitanzania hasa hela za noti ni tofauti na hela zingine za kigeni mfano Dola ya Marekani. Tangu naifahamu dola na kuitumia kwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
MAELEZO KWA KIFUPI YA JINSI YA KUANZISHA CHUO CHA ELIMU YA UFUNDI STADI NCHINI 1 Utangulizi Mamlaka ya Elimu na mafunzo ya ufundi stadi(VETA) ilianzishwa chini ya sheria Na.1 ya mwaka 1994 kama...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
Maana ya BULK SMS: Tunapo zungumzia Bulk Sms tunamaanisha hali ya kutuma ujumbe mmoja wa maandishi kwa watu wengi. Mfano kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 10000 kwa wakati mmoja. Bulk sms...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua kama kuna moja wa wanachama walio wekeza NICOL kwa kununua share kama walikutana na majibu niliokutana nayo katika office zao 1.kuhusunia na malipo kuwa wanalipa wanachama kwa miaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa hili jukwaa. Mimi ni kijana ambaye nahitaj msaada wa mawazo na ushirikiano pia kwa walio tayari katika hili.nimemaliza chuo mwaka 2018 (mechanical engineering) na kupata...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salama wakuu naomba kusaidiwa jmn anayefahamu namna gani naweza safirisha mzigo wa biashara Tanzania to Zimbabwe kwa kuutuma mzigo i mean natuma mzigo huku kuna mtu anaupokea Zimbabwe ni gari gani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina lengo la kufungua video library yaani kurushia wateja movies pamoja na mziki. Kwa wanao fahamu, series/seasons nitapataje?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Jack ma founder and executive chairman of Alibaba Group speaking at a round table meeting organised by KEPSA and UNCTAD. Kenya Agribusiness and Agro Industry Alliance was present represented by...
3 Reactions
33 Replies
7K Views
Niaje wadau, ni wapi Dar panafaa kwa biashara ya ufundi tajwa hapo juu kwa mtu anaenza na hana mtaji wa kukodi frem sehemu zilizochangamka kama Kariakoo na zinginezo? Yaani namaanisha sehemu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuwa na degree au kuwa na PhD haimaanishi kuwa unaweza au unafahamu kila kitu. Kila siku kuwa mtu wa kujifunza kutoka kwa watu wanaokuzunguka kila siku. Katika maisha yako ya kila siku hasa kwa...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za muda huu wakuu...... Natumai mko vyema, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika, Mimi ni mtumishi wa wajamii, najihusisha na Utabibu wa binadamu.... Natamani kuwa mjasiriamali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Youtube kuna kila kitu waweza jifunza kutengeneza mashine yeyote, waweza jifunza vitu vingi vya kukukingizia kipato. Ona hawa vijana wa Mumbai Uswahilini walioingia shindano la American GOT...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom