Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari, nimehitimu chuo(Lingusitic teacher) ninawazo lakufungua photo na local video production (Songea) Nataka ingia bank omba mkopo (3mil.) kwaajili ya printer navifaa vingine. Camera...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Nahitaji kuchukua mkopo wa MILION 60 mkataba wa miaka 6. Je, bank gani wanaweza kunipa huu mkopo bila usumbufu? Nina-asset ya nyumba 4 na shamba lenye heka 5 la mazao takudumu...
2 Reactions
13 Replies
37K Views
Habari zenu? Kama kichwa cha habari kinavyosema, Je kwa mtaji huo wa milion 4 naweza kufungua duka la nafaka kwa jumla na rejareja? Naombeni mchanganuo wenu pia faida na hasara zake. Asanteni.
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Habarini za mchana kwa yoyote aliwahi kufanya kazi au anayefanya kazi za online naomba anisaidie jinsi ya kuomba kuomba hizo kazi.
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari wadau. Nataka kujua taratibu za kufunga Kampuni. Naanzia wapi?
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kuna uhusiano gani kati ya mafanikio yako na uchawi ushirikina? Mafanikio katika nyanja zote ni lazima nguvu za Giza zihusike ? Kwa wale mnaotumia nguvu hizo naomba mtupe uzoefu wenu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Umuofia kweni. Hivi sukari, diesel na cement ikipanda bei ndiyo zinazoashiria mfumuko wa bei? Huku mtaani bidhaa nyingi zinapanda bei kimya kimya lakini naona maisha yanasonga kama kawaida. Huko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wandugu, Nimekuwa nasikia kuwa soko la Korosho huko Duniani sio nzuri hali iliyopelekea wakulima wetu kubaki na korosho zao. Mtazamo wangu: Kwa kuwa mikoa ambayo haizalishi Korosho ambayo ndio...
1 Reactions
4 Replies
889 Views
Swali 1: Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, ningependa kufanya biashara ya kuuza genge, naomba msaada wenu mwenye kujua naweza nunua wapi vitu vya sokoni kwa bei nzuri na nikimuajiri mtu aniuzie...
2 Reactions
126 Replies
63K Views
Heshima yenu washika dau wote wa Jf Ebana kwa Mara ya kwanza nakuja kwenu pamoja na wenzangu ningependa kufahamu ni vitu vya aina gani au mambo Gani unaweza kufanya ili kutengeneza pesa online au...
3 Reactions
44 Replies
10K Views
Jamani hii ni wiki ya pili sasa najaribu kuwatafuta mawakala wa soda za Pepsi nashindwa kuwapata Naitaji soda cret Mia moja, Kila ninavyojaribu kupiga kwa namba zao ambazo ziko mitandaoni huwa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu wanajukwaa naomba kufahamu bei za mazao haya hasa mkoa wa Morogoro kama ikipendeza kwa Kilombero. .Mchele per kilo .Maharage ya jano na soyo per kilo .Mahindi per kilo .Choroko per kilo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Naweza kusema ni hujuma au kutokua na mkakati maalum wa utendaji kazi, unakuta mistari ya magari ni mitatu, namaanisha kuna mstari wa kwanza, wa pili na watatu. Ukifika unaweza kuingia mstari...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mfuko wa Kusaidia Jamii wa Vodacom (Vodacom Foundation) kama kampuni ambalo lilikuwa na ukomo wa ahadi ambalo linasaidia jamii na hivyo halikuwa na malengo ya kukuza biashara au uwekezaji...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini,bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada,kwa nini walimu wengi wamekamatwa na Qnet wakati halide zao za maisha zikiongezeka kwa tight Majibu yenu yatasaidia kuwakomboa au...
1 Reactions
73 Replies
18K Views
Hellow wakuu, Kutokana na ugumu wa ajira vijana wengi waliohitimu vyuo wamekuwa wakitaka kujiajiri. Mfano mtu anataka kufanya biashara ya bucha, anamfuata mwenye bucha kiroho safi kutaka kupata...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana Jamii forum, Naomba kuuliza kwa anaefahamu, naomba kujua bei ya kahawa na ni mikoa gani inapatikana kwa wingi hapa Tanzania. Ahsanteni.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu mwenye kufahamu bei za mazao haya mchele, maharage, choroko, mahindi, dengu, kwa mkoa wa Morogoro hasa kwa Kilombero.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu...tusaidiane mawazo "How do u sell a product thats already in street/market...mtaani" Yaani unauzaje bidhaa ambayo ipo tayar mtaani. Najua wadau mko vizuri humu. Hili swala ndo kila kitu...
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Back
Top Bottom